Recent content by butaza

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba umesema vema

    Siku moja iliopita jaji Warioba aliwambia watangaza nia kuwa acheni kujisemea kuwa nyie ni waadilifu, waachieni wananchi wawasemee kwani wao wanawajua vizuri kuliko mnavyojijua. Kweli mzee umesema haki tupu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa, January, Membe na Mwigulu Wasipokatwa Natupa Kadi Ya CCM !

    Uwoga , umbumbu, u jinga wako ndo unakutesa ww unatamani watu wakatwe kwa faida ya nani..? Nadhani hata kadi huna mwanachama wa ccm hana ujinga huo ww ukawa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania kuweni macho na hasa wanaCCM wenye fursa ya uteuzi

    Ukiwa mwananchi wa kawaida usiye na ushabiki wa vyama au mgombea, ukitazama wagombea ndani ya CCM utaona kuna mgombea anaitwa LOWASSA anasemwa sana mazuri nusu na mabaya nusu. Nusu ya kwanza ya uzuri inasemwa na wananchi wa kawaida wasio na vyeo serikalini au ndani ya chama. Nusu ya pili ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wingi wa wangombea ccm sio hoja hoja hapa ni ccm mzalendo au ccm maslai ?

    Wingi wa wagombea ccm kwangu mm sio hoja , hoja kwangu mgombea yupi anakidhi vigezo vya kuwa rais na mkt.wa ccm taifa. Maana ipo tofauti kugombea nafasi ya juu ya rais KUPITIA ccm na kugombea urais kutokea ccm. Mgombea kupitia ccm hana vigezo vya kuwa mkt wa ccm taifa .Wako wagombea wanao...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde nyie wenye hasira na Lowassa

    Kuroroma na kutetemeka kla sku ktk mindao ya kjamii kumshambulia lawasa kuwa hafai kuwa rais twambieni anae faa nani? Mbona hamsemi nani zaidi ya lowasa. ? Lakin Mbona watoa hoja wote ni wale aidha ana madaraka ndani serikalini au ni mpambe wa mgombea? Je huo si uwoga au hofu ya kushindwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere kuwasema wenzake kwa kutumia mwavuli wa mwalimu Nyerere wakati nae ni mgombea

    Makongoro Nyerere kuwa sema wenzake kwa kutumia mwavuli wa mwalimu Nyerere wakati nae ni mgombea ni sawa na kuaminisha watanzania kuwa yeye ndie anae faa kuwa rais. Kwa hili Makongoro nae kavunja kanuni za chama kwa kutaja majina ya wagombea wenzake na kutoa tuhuma dhidi yao. Ukiacha hayo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde nyie wenye hasira na Lowassa

    Kuroroma na kutetemeka kla sku ktk mindao ya kjamii kumshambulia lawasa kuwa hafai kuwa rais twambieni anae faa nani? Mbona hamsemi nani zaidi ya lowasa. ? Lakin Mbona watoa hoja wote ni wale aidha anamadaraka serikalini au ni mpambe wa mgombea? Je huo si uwoga au hofu ya kushindwa mgombea...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa anavyoambiwa anaungwa na mafisadi akina Rostam na Karamagi, Je! Wengine wanaungwa na nani?

    JE ridhiwani anamuunga mkono nani? JE yeye msafi? Watanzania wanamsemaje msafi au fisadi? .JE mjumbe wa nec lindi mjin mama salma kikwete anamuunga mkono nani? Je watanzania wanamsemaje kuhusu taasis ya WAMA JE WANASEMA MSAFI AU FISADI? JE HOME SHOPPING CENTER WANAMUUNGA MKONO NANI JE WAKO...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hi wanajamii.

    Vpi wabunge wenye hati milki ya majimbo miaka kumi mpaka ishirini nao ni MAKRUNZIZA au?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

    Ccm sio chadema ili mtu awe rais mpaka meja general mtei na bregedia wake mbowe waseme. Hii ni ccm maamuz yake yanafanywa na vikao. Chama cha lowasa ni ccm na atagombea ccm.kama ccm ni yako njiandae kumzuia ukishindwa hama ww au kubali maamuz ya vikao.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya mgombea urais 2015 yaibwa Lumumba

    Hatua waliofikia sasa sio ya kutafuta picha nzuri ya ukutani ya rais wala fadhila za watawala waliopita tunataka rais ambaye ataendeleza mazuri yaliofikiwa na awamu hii ya jk na kutafuta majawabu sahihi ya kero sugu za elimu, wakulima na wafugaji mpakani mwa mbuga za wanyama,, rushwa, maji na nk...
  12. B

    JamiiForums Tanzania UVCCM Yataja Sifa Za Mgombea Urais Ajaye!

    Vyama vya upizani vya Tanzania mmejifunza nini? Uchaguzi wa UK wagombea wote wa vyama vilivyo shindwa ktk Uchaguzi wa wameachia nyazifa zao vipi wagombea wa Cuf na Chadema mpaka miaka mingapi? Au na nyie ni MAKRUNZINZA NA 1
  13. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa aibuka na staili ya CHADEMA

    Remember impossible is possible by the will of God.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa aibuka na staili ya CHADEMA

    Jipeni moyo mnaotamani akatwe na wote mnajulikana kama ilivyo siasa haina adui wa kuduma akiwa rais tutawakuta viti vya mbele ikulu. .
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nani ni Nani Urais 2015: Edward Lowassa - Mbunge wa Monduli

    Hana ndio mshauri babayako ama yako wagombea maana mm nawajua wana sifa ok
Back
Top Bottom