Recent content by Bususwa

  1. Bususwa

    JamiiForums Tanzania TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Chaka kivipi
  2. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari Sam Mahela alikwenda wapi na anafanya nini kwa sasa?

    Kisa cha Spencer Lameck Minja,nakifahamu kwa undani! Kipindi cha kampeni mwaka 2015,CCM walimchukua Emmanuel Buhohela pale ITV awe ana cover story zao za kampeni! Spencer Lameck Minja,akachukuliwa na Chadema awe ana cover kampeni za Chadema hasa kwenye mikutano ya Loawasa,dogo aliunguruma...
  3. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Tupia majana halisi ya watangazaji wa Redio na TV

    Hapana sijui jina lake OG! B 12 ni Hamis Mandi
  4. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Tupia majana halisi ya watangazaji wa Redio na TV

    Adam Mchomvu au
  5. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Tupia majana halisi ya watangazaji wa Redio na TV

    Mzaliwa wa Ng'apa Lindi huyu mdada, alishinda kura za maoni,ubunge wa viti maalum huko Lindi,Chuma akala kichwa!
  6. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Tupia majana halisi ya watangazaji wa Redio na TV

    Alikua mmoja wao! Walikua nakikundi chao,wanajiita UYGK 1. Ushindi 2. Yahya 3. Gérard 4. Kaombwe! Walikuwa wahuni wahuni tu! Washenzi kweli kweli!
  7. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Tupia majana halisi ya watangazaji wa Redio na TV

    Mkazuzu jina lake halisi ni Yahya Mohammed! Jamaa nimeishi naye Shinyanga,alikuwa fundi cherehani
  8. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole ya kifo Lawrence Nyasebwa Mafuru

    Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kilichotokea leo tarehe 09 Novemba, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India. Ninatoa pole kwa familia, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Mheshimiwa Prof. Kitila...
  9. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

    Sure mkuu!! Ana I'd nyingine
  10. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

    Uzi ulifutwa hataka sana,na yule dogo aliyepost zile picha za dudes alipigwa life Ban
  11. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

    Hujaelewa maana ya live your own life,mtu akisema namiliki SGR au ATCL ni direct unajua huu ni utani,fake life na mfano wako wala havina uhusiano!
  12. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

    Yule demu bwana yuko morogoro,kuna mshikaji mmoja hivi ni jamaa yangu sana,anamjua in and out! Now analea mtoto mdogo,alizaa nadhan mwaka jana,na alifiwa na Baba yake mzazi mwezi uliopita
  13. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

    Aache ujinga,wakujifanya yeye ni downtown
  14. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

    Mnazingua sana! Live your life, wengi wenu humu mna fake sana maisha! Mtu anajiweka high standards,high classics, eti ana gari,kajenga ana biashara za 500M,passport yake ina mihuri ya maana! Kumbe hakuna kitu,hapo ndipo wanaume huwa tunawachukia! Badilikeni! Sisi mbona tunaishi maisha yetu OG??
  15. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

    Hana ujanja wowote Ni muuza pussy mzuri tu kama walivyo wauzaji wengine Mara ya kwanza kuona maandiko yake,niliwiwa kumutafuta walau nipate moja,mbili ya habari zake,kweli nilimpata,na moja ya tools yake ilikua kukutumia picha za nudes zake na aliwahi nitumia pia na,ana watoto wakubwa,mmoja...
Back
Top Bottom