Recent content by busness

  1. B

    JamiiForums Tanzania Zamani walichagua kabila kuoa

    Lazima kabila lijulikane mbona mkienda police mnaulizwa kabila hamsemi chochote acha hizo basi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa idara ana haki ya kumsimamishia mshahara mtumishi bila utaratibu?

    Kwenye halmashauli nayofanya kazi kuna rafiki yangu jumamos alipata dhalula kwa sababu ofisi za serikali zinakuwa zimefungwa week end kaamua kwenda kumwona mgonjwa. Alikaa huko wiki mbili maana mgojwa alikuwa serious alivyorudi kazini kaambiwa mtoro hivyo yampasa asipewe mshahara kwasababu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania What the difference between happy and pleasure

    Some body told me that pleasure is temporary happiness and happiness is permanent pleasure what is or argument please
  4. B

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu ni mara ya pili, anakuja room hivi

    Hii nayo n story ya kujadili
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kumpiga hands up mumewe ni sahihi

    Sile au sarafu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kumpiga hands up mumewe ni sahihi

    Kuna tetesi kwamba kuna kabila moja nchini kanda ya kaskazini ukioa huko pindi ukitoka kazini jioni. Mke anakipipa handsup anakuserch mifukoni asiporidhika anakuamulu kupiga Soti yaani kutembelea mikono mpaka sole zidondoke ndo akuruhusu uingie ndani Salama jamani hii ina ukweli au majungu tu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Makabila ambayo kitandani ni goigoi

    Kuna wengine wanatafuna godoro kisa utamu wa mapenzi ukishutuka gadoro limeisha
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kitokeacho Baada ya Mwanamke Kumfumania Mumewe

    Hii research nimetumia random sampling
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nimetongozwa na shoga

    Ushoga unaambukiza Mkuu kapime kwanza mwananyamala
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kitokeacho Baada ya Mwanamke Kumfumania Mumewe

    Kuna kautafiti nimefanya nikagundua kwenye mahusiano kuna mambo mengi ikiwemo kuchepuka. Cha kushangaza wanawake wengi pindi wafumaniapo waume zao utamwona anakurupuka na kumvagaa mke/binti anaye kutwa naye. Hii ni tofauti kwa wanaume akifumania mkewe mara nyingi anatoa adhabu kwa mkewe si kwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nina script ya movie ya kiasili kabila la kihaya

    Niko mwanza
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nina script ya movie ya kiasili kabila la kihaya

    Hapana hii no business hivyo nataka MTU aliye serioua
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nina script ya movie ya kiasili kabila la kihaya

    Kiufupi Mimi ni mtumishi wa serikali Nimeandaa script nzuri asili ya kabila la kihaya kuna kaela kidogo kama mil5.zamaandalizi ya a wali nahitaji mtu aliyetiyali kucheza awe na ela kidogo tufanikishe Tafadhali aliye tiyali anitafute asiwe tapeli
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mchumba Wangu kazimia kwenye msiba

    Hui kitu kweli kabisa Mimi mwenyewe Niko njia panda
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mchumba Wangu kazimia kwenye msiba

    Nina mchumba am aye tunapendana sana .yukochuo kimoja jinini Mbeya cha kushangaza kwao kuliwahi tokea misiba mingi haikuwai tokea Hali hii Jana mama wa mkufunzi wake alifariki wakati wanapeleka mwili kuuhifadhi mchumba Wangu alipo mwangalia mwalimu wake gafla akapoteza fahamu kanipigia cm Yuko...
Back
Top Bottom