Nchi ina watu zaidi ya milioni 60
Ina jeshi na power na influence duniani
Lakini account moja ya kwenye Twitter imeshindikana.
Unless ni ya Samaki na maji
you mean waafrika/makaburu magari yao yana usalama zaidi kuliko ya wazungu huko Ulaya
One learns something new humu JF everyday
in other words safety na kila kitu katika hayo magari waafrika wanaongoza
Habari za leo waungwana.
Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko
Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au...
Serikali na Wizara ya Mambo ya Nchi za nje ulitoa mwongozo juu ya suala la kushusha nusu mlingoti bendera zote kwa Balozi zote za nie zilizopo hapa Tanzania kutokana na Msiba huy wa kitaifa tulio nao.
Ubalozi wa Falme za Kiarabu hapa Tanzania bendera zake bado zio juu kabisa toka msiba wetu wa...
kodi inayokusanywa kwenye properties na ardhi Kariakoo/ Mjini/ Masaki/Obay/ Msasani Peninsular ni kidogo Sana
Tax Rate kwenye maeneo hayo inabidi iangaliwe upya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.