Ushauri kwa Rais Magufuli: Serikali haikusanyi kodi Nyumba za Kariakoo, Masaki, Mikocheni, Obay, Mbezi beach & Msasani Peninsular

businesslink

Senior Member
Mar 20, 2019
129
113
Hii nyumba niko Obay, je valuation ya nyumba na kiwanja au eneo ni sawa?

Kwa nini huyu alime kodi sawa na Mtu anayeishi Tandale kwa Mtogole?

Rais Magufuli anaposema nchi hifi ni tajiri sana hakusema uwongo.

mshawahi kujiuliza what is the most expensive real estate in Tanzania?

Jibu ni karikakooo

Lakini serikali haikusanyi kodi ipsavyo kwenye viwanja na mahekalu ya Mbezi beach, Mikocheni, Masaki, Msasani Peninsular, Oysterbay na kariakoo.

Tataizo hili ni nchi Nzima.

Mfano, kodi ya mahekalu na value ya ardhi Masaki Obay, Msasani Peninsular pekoe zinatosha kujenga shule za Primary na vituo vya Afya wilaya ya kinondoni Nzima na zingine zikabaki. SIelewi why Makonda bombe pesa serikali kuuu kujenga Shule wakati pesa zipo nyingi tuuu (kama tukifanya collection ya uhakika)

Masaki nyumba moja value yake ni Billioni 2 karibu

Bado kodi ya ardhi

Serikalil iliangalie hili

Imagine fine ya magorofa yasiyo na lifti Kariakoo yaka mangapi na tutaweza kupata pesa kiasi gani?

Hii nchi pesa zipo sana

Mheshimiwa Rais naomba hili liangaliwe kwa makini sana na linawezekana
 
Mbona sheria ipo na wanakusanya kila mwaka kwa kila plot. Au unataka wakusanye kodi ya ardhi na kodi ya nyumba pia wakusanye at same time? Maana tra wanachukua property tax na with holding ya 10p kwenye kila kodi ya pango anayolipwa kwa muhindi kila mwaka hapo k.koo

Huko masaki wanalipa kodi ya kiwanja kila mwaka na withhold ya 10p. Kwa flem za biashara na bado wanachukua income tax kwa real estate companies . Ni kodi gani unayotaka wachukue tena ???
 
Huu siyo uzi wa kwanza unaanzisha kushauri kuhusu kuongeza mapato kwa Serikali.

Kwa hayo mawazo yako ya "kuchota" na "kufilisi" mali za sekta binafsi, hofu yangu itaongezeka ikiwa ni msimamizi/mshauri kwenye taasisi ya umma au ni mwalimu, halafu bado kijana!😑
 
Rais Magufuli anaposema nchi hifi ni tajiri sana hakusema uwongo.

mshawahi kujiuliza what is the most expensive real estate in Tanzania?

Jibu ni karikakooo

Lakini serikali haikusanyi kodi ipsavyo kwenye viwanja na mahekalu ya Mbezi beach, Mikocheni, Masaki, Msasani Peninsular, Oysterbay na kariakoo.

Tataizo hili ni nchi Nzima.

Mfano, kodi ya mahekalu na value ya ardhi Masaki Obay, Msasani Peninsular pekoe zinatosha kujenga shule za Primary na vituo vya Afya wilaya ya kinondoni Nzima na zingine zikabaki. SIelewi why Makonda bombe pesa serikali kuuu kujenga Shule wakati pesa zipo nyingi tuuu (kama tukifanya collection ya uhakika)

Masaki nyumba moja value yake ni Billioni 2 karibu

Bado kodi ya ardhi

Serikalil iliangalie hili

Imagine fine ya magorofa yasiyo na lifti Kariakoo yaka mangapi na tutaweza kupata pesa kiasi gani?

Hii nchi pesa zipo sana

Mheshimiwa Rais naomba hili liangaliwe kwa makini sana na linawezekana
Serikali ikidhibiti mapato kwenye madini, utalii, gesi na mafuta haina haja ya kukimbizana na raia kudai kodi ya ardhi na sijui na pango la nyumba. Badala yake watu watapata nafasi ya ku accumulate wealth na kuwekeza zaidi hivyo utakuwa unapunguza shida ya umaskini wa kipato kwenye jamii, chukulia mfano nchi kama Nigeria ambako kuna matajiri wengi ambao wana uwezo wa kuwekeza hata nje ya nchi yao, ni kutokana na serikali kukusanya mapato ya kutosha kwenye mafuta na kuacha kuhangaika na kuwatoza kodi raia.
 
Ashughulikie kwanza suala la BARRICK/ACACIA wawe wanatulipa kodi zetu halafu ndiyo aje kwa wazawa.
 
Rais Magufuli anaposema nchi hifi ni tajiri sana hakusema uwongo.

mshawahi kujiuliza what is the most expensive real estate in Tanzania?

Jibu ni karikakooo

Lakini serikali haikusanyi kodi ipsavyo kwenye viwanja na mahekalu ya Mbezi beach, Mikocheni, Masaki, Msasani Peninsular, Oysterbay na kariakoo.

Tataizo hili ni nchi Nzima.

Mfano, kodi ya mahekalu na value ya ardhi Masaki Obay, Msasani Peninsular pekoe zinatosha kujenga shule za Primary na vituo vya Afya wilaya ya kinondoni Nzima na zingine zikabaki. SIelewi why Makonda bombe pesa serikali kuuu kujenga Shule wakati pesa zipo nyingi tuuu (kama tukifanya collection ya uhakika)

Masaki nyumba moja value yake ni Billioni 2 karibu

Bado kodi ya ardhi

Serikalil iliangalie hili

Imagine fine ya magorofa yasiyo na lifti Kariakoo yaka mangapi na tutaweza kupata pesa kiasi gani?

Hii nchi pesa zipo sana

Mheshimiwa Rais naomba hili liangaliwe kwa makini sana na linawezekana
Hivi kwa akili yako nyumba nyingi ziko wapi, Oysterbay au Vingunguti?
Kwa kila nyumba moja Oysterbay kuna nyumba 20 Vingunguti au Kigogo.
Sasa jiulize kodi iko wapi.
 
Ukiwa masikini na rohombaya na umetoka huko vijijini hata umeme hakuna
ukifika mjini unatafuta njia za kuwakomoa unaowaona wanaishi vizuri mjini

Sio wote wenye nyumba KKOO na Masaki ni matajiri
wengine wamerithi....wengine walijitahidi ujana wao kuwekeza
wengine walibahatika tu

sasa mkitaka kodi zenye kuwalenga kuwakomoa mjue hasara yake
itawagusa hadi nyinyi mliotoka vijijini....

jaribuni kustaarabika kwanza
 
Serikali zisizo na maono hizi mkuu badala ya kujikita kuboresha sera na ukusaji mapato kwenye strategic sector serikali iko busy kulomoa raia wake na vikodi uchwara tu.

Nchi hii imejaa wajinga wengi sana na bahati mbaya ndiyo wenye dhamana ya kufanya maamuzi kwaajili yetu.
Serikali ikidhibiti mapato kwenye madini, utalii, gesi na mafuta haina haja ya kukimbizana na raia kudai kodi ya ardhi na sijui na pango la nyumba. Badala yake watu watapata nafasi ya ku accumulate wealth na kuwekeza zaidi hivyo utakuwa unapunguza shida ya umaskini wa kipato kwenye jamii, chukulia mfano nchi kama Nigeria ambako kuna matajiri wengi ambao wana uwezo wa kuwekeza hata nje ya nchi yao, ni kutokana na serikali kukusanya mapato ya kutosha kwenye mafuta na kuacha kuhangaika na kuwatoza kodi raia.
 
Mbona sheria ipo na wanakusanya kila mwaka kwa kila plot. Au unataka wakusanye kodi ya ardhi na kodi ya nyumba pia wakusanye at same time? Maana tra wanachukua property tax na with holding ya 10p kwenye kila kodi ya pango anayolipwa kwa muhindi kila mwaka hapo k.koo

Huko masaki wanalipa kodi ya kiwanja kila mwaka na withhold ya 10p. Kwa flem za biashara na bado wanachukua income tax kwa real estate companies . Ni kodi gani unayotaka wachukue tena ???
Hao ndio wale wenye roho za Korosho waliomezeshwa sumu na utawala huu kuwa kila tajiri ni mpiga dili na halipi Kodi.
 
Ukiwa masikini na rohombaya na umetoka huko vijijini hata umeme hakuna
ukifika mjini unatafuta njia za kuwakomoa unaowaona wanaishi vizuri mjini

Sio wote wenye nyumba KKOO na Masaki ni matajiri
wengine wamerithi....wengine walijitahidi ujana wao kuwekeza
wengine walibahatika tu

sasa mkitaka kodi zenye kuwalenga kuwakomoa mjue hasara yake
itawagusa hadi nyinyi mliotoka vijijini....

jaribuni kustaarabika kwanza
Well said Mkuu,hawa wajinga wachache hii roho mbaya na husda wamelishwa na huu Utawala wa Awamu ya Tano,yaani ni uSadist mtupu.
 
Tuwe wakweli jamani.
Inawezekanaje mmiliki wa nyumba ya Kariakoo alipo kodi sawa na mimi niishiye huku kajamba nani?
Kibanda chenyewe naishi mwenyewe na wanangu hata mpangaji sina,kodi waliniandikia 37,000 nilipe ndani ya siku 2 na ni ya mwaka mmoja tuu?

Mwenye ghorofa Kariakoo anapokea zaidi ya ishirini milioni kwa mwezi,kodi ya jengo analipaje 150,000 kwa mwaka?

Wakati mwingine watu wa tra wakiwa na maarifa ya kawaida wanaweza kuchukua hata milioni kumi kwa kila jengo la biashara pale Kariakoo na mambo yakaenda sawa.

Kwa yale majengo yasiyo eneo zuri mnaweza kutoza viwango pungufu na hivyo
 
Labda tutofautishe

Kodi zipi zinazongumziwa hapa

1.Property Tax kwa mmiliki wa kiwanja
Na
2.Withholding Tax iwapo unapangisha

Property Tax ni fixed rate ama ni asilimia ya ukubwa wa eneo?..je inajali thamani ya kiwanja? Meaning uko masaki au tandale?.wenye ujuzi watuambie

Withholding tax huko Tandale mbona hamlipi?Masaki wanalipa sana W/Tax mbona hawawalalamikii?

Wtax on rent ni 10% ...wakikulipa hela ya pango mil 900 mil 90 inaenda TRA
 
Back
Top Bottom