Recent content by Bushe

  1. B

    Jamani karismatiki - katoliki, otiato nini kimemuua?

    Tunaomba picha za huyo baba Otiato jameni. RIP.
  2. B

    New Habari (2006) Ltd imefulia... Nani alaumiwe?

    Je, urafiki wa Muhingo na Rostam nao ni wa kudumu au ni mwendelezo wa sinema za urafiki wa matajiri na masikini? Au Muhingo ni tajiri? Kwani Salva alipewa lawalawa na Rostam? Ule ukuta pale umevunjwa na nani, maana naona wamebaki uchi, ukuta wote pale mbele pwaa, pamebaki wazi kama kituo cha...
  3. B

    Mwandishi Dennis Msaki ajiuzulu "Nipashe"

    Kwani kuhama ndiyo maana yake kwamba amepewa pesa za kifisadi? Mbona wengine wengi wanahama? Lakini habari nyingine zinasema ameitwa na MKUU kabisa kwa kazi kubwa kwenye Kurugenzi ya Mawasiliano Afisi Kuu. Si mnajua huyu amesomea mpaka Uingerezani?
  4. B

    Rostam atingisha mkutano wa hadhara igunga

    Kwani kosa hasa la Rostam ni nini? Kaiba? Kama kaiba, basi kaiba nini? Kaua? Kama kaua, kaua nani? Mpaka sasa mimi sijaona kosa la mtu huyu, mchukueni wenyewe mkamhukumu kwa sheria yenu. Leteni mashitaka halali kama mnataka hukumu. Kila siku RA, RA, RA, he, hakuna mambo ya kitaifa ya kufanya...
Back
Top Bottom