Recent content by busegwe

  1. busegwe

    Tundu Lissu: Nasikia sikia kama tunataka kupewa Nusu Mkate tupewe Wabunge tu. Huu utakuwa Ujinga mkubwa!

    This time hawatakosea muda ni rafiki mzuri masikio hayazidi kichwa ngoja tusubiri
  2. busegwe

    Starbucks Yafungua mgahawa wake wa kwanza Milan, Italy

    Naitamani hii biashara sijui nafanyaje? Ili niifanye mtaji sio shida
  3. busegwe

    Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

    Dah ww jamaa una roho ngumu sana kwa leo naishia hapa
  4. busegwe

    Hayati Magufuli ni shujaa anayepigana na walio hai

    Aisee nimekuelewa sana jombaa moyo ya binadamu inabeba vingi
  5. busegwe

    Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

    Acha kuongea usivyovijua na alivyompiga diwani wa sombetini, alivyompiga risasi mlinzi wa cocorico club zamani triple A, alivyompiga katibu wa Ccm wilaya ya arusha mjini, vijana wake walivyompiga dc wa arusha mjini kenani huku akishuhudia sabaya ni sikio la kufa hadi ndugu zake hawaongei nae
  6. busegwe

    Mswada/sheria ya tra kutoshikilia fedha za wafanyabiashara benki

    Jambo jema sana tumeonewa sana waziri tusaidie hizi sheria zimepitwa na wakati
  7. busegwe

    Waraka wa Diwani mstaafu wa CHADEMA kwa Tundu Lissu

    Bado unaangalia TBC mm nilishapiga marufuku nyumbani kwangu kuangalia TBC juzi watoto wananiuliza kwanini sitaki waangalie wakati shuleni wamefundishwa wawe wanaangalia nikawambia sitaki waangalie kwacbabu inawafundisha uoga na ujinga bora waangalie katuni
  8. busegwe

    Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

    Zilikamatwa kwa kutuonea au walikuwa wana sababu ya kuzikamata
  9. busegwe

    Sheria ya uchaguzi inasemaje juu ya mawakala wa vyama vya siasa?

    Wacongo wanahusikaje na uchaguzi wa Tanzania? Hangaikia mumeo na ndg zako achana na wacongo
  10. busegwe

    Sheria ya uchaguzi inasemaje juu ya mawakala wa vyama vya siasa?

    Kwani yeye, dada yake, mume wa dada yake sio watanzania
  11. busegwe

    Tanzania inawahitaji watu aina ya Mch. Gwajima walau kumi hivi

    Mm nakuona ni mjinga zaidi yake kwa sababu hujamjibu kwa hoja umeleta mipasho kama ya hadija kopa
  12. busegwe

    GE2020 Alikuwa akisoma comments za Twitter akajua kwamba ameshakuwa Rais, amechanganyikiwa

    Hayo magiwio yamemnufaisha vipi mwananchi wa wa kawaida wa mlele
  13. busegwe

    Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

    nani anakusanya kodi kwa wananchi
  14. busegwe

    GE2020 Magufuli: Wapinzani wakishinda watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper!

    Mbona kama anatutisha kwani hata wakivunja hayo madaraja yy atakuwa ana hasara gani
Back
Top Bottom