Recent content by Busarautu

  1. B

    JamiiForums Tanzania ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    Watu wameua unaona ni kamgogoro [emoji23][emoji23]
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hili la uongozi wa CHADEMA kumsusa Isaya Mwita kwenye sakata la Umeya linahitaji mjadala mpana

    Kwani shida iko wapi, si msaidieni nyie wenye huruma,yaani kila kitu mnataka muuziwe sura duh! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haijashiriki sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar?

    Kama unalijua hilo kwa nini useme kitakufa juni. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    JamiiForums Tanzania CCM kutogawa bure sare za chama kwenye uchaguzi mkuu 2020, wanachama waelekezwa kujinunulia wenyewe

    Nani atanunua magwanda yaliyo chokwa mtaani. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.

    Mtani Pascal usitufanye mazuzu,kwa ripoti hiyo , jina mh.Magufuli linakuja je kwenye uzi hata kama ripoti ni ya 2019.Hizo pongezi mwaka 2020 au mwingine wowote taarifaa zikija kinyume utamlaumu nani huyo huyo mheshimiwa au? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Mnyika jiendelezeni kielimu mpate shahada ya Chuo Kikuu

    Ndugu kama unadigrii kwa mawazo haya bora ungebaki na cheti chako cha form six , naamini digrii imekutoa ufahamu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    JamiiForums Tanzania Makonda awapa Ofisi CHADEMA. Awataka walipie pango la ofisi ya Makao Makuu kwani mwenye nyumba analalamika

    Ila vijana wa CCM mmechoka mmekazana kusapoti ujinga huu kama vile hamnazo,hivi mkuu wa mkoa anamamlaka ya kutoa/kugawa mali za chama? Jitafakarini. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania Uenyekiti wa Chadema hauwezi, urais wa Jamhuri ya Muungano Lissu atauwezea wapi?

    Umesahau kuwa alikuwa Rais wa wana sheria Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania Uenyekiti wa Chadema hauwezi, urais wa Jamhuri ya Muungano Lissu atauwezea wapi?

    Pole yako Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

    Atahutubia Taifa kupitia wajumbe wa mkutano mkuu,ndo maana utatangazwa moja kwa moja na vyombo vya habari. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kustaafu Uenyekiti Chadema Desemba 2020 na kumwachia kijiti makamu wake Tundu Lissu

    Tunaomba pia mrejesho wa ndege yetu kesi ya mkulima mkuu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mdude hana sifa za uongozi, hafai kuwa mwenyekiti wa Bavicha, abaki kuwa mwanaharakati tu

    Mnaona kufunga watu ndo sifa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mdude hana sifa za uongozi, hafai kuwa mwenyekiti wa Bavicha, abaki kuwa mwanaharakati tu

    Weka namba ya simu mkuu 2020 siyo mbali utakumbukwa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Poleni sana mliomwaga damu kwa ajili ya CHADEMA, ukweli mmeuona!

    Mbona m/kiti wa UDP humsemi
Back
Top Bottom