Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Kutokana na fursa za kielimu zilizochochewa na maendeleo ya teknolojia ni aibu kwa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema wote wawili kutokuwa na shahada ya Chuo kikuu.
Kama huna kipaji cha uvumbuzi mfano wa akina Gates,Jack Ma na wengineo ukiwa kiongozi inapendeza angalau uwe na shahada moja ya Chuo kikuu.Miaka ya nyuma kuna rais na waziri Mkuu walipuuzwa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar kwa kutokuwa na shahada moja ya Chuo kikuu.
Nimalize kwa kutoa ushauri kwa Mbowe na Mnyika watumie fursa zilizopo ili angalau wapate shahada ya Chuo kikuu ili wapate ushawishi kwenye jamii ya wasomi.
Shime Chadema chukulieni ushauri huu kwa mtazamo chanya kwa mustakabali wa maendeleo ya Chama.
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app