M
Mkuu hapa naona maswala ni kuihusu hii nchi ya uganda kichumi maana hata sijui kama wakiwapa wa wakorea watafaulu.naona hii refinery ita hit more than 4bn $ channganya na pipeline duh hiyo hela mingi mno .povu povu kweli.
Povu povu kweli...:D.uhuru ni baba wa taifa..
Hapa povu povu noma.m7 anashida kweli cabinet ya mtu 80 na ka nchi ovyo.hili la bomba wa bongolala watangoja sana.maana hata ufadhili wa sgr upande wake imemshinda.dah hata mchina anaogopa kuwapa mkopo.
M
Mkuu hapa tupo juu sana na tukisort shaabab na corruption growth ita shoot past 8%.hawa wenzetu hata rais wa ma pushups kawaita vilaza nani anaeza taka phd toka huko....:D
Hawa nilisema hata mola awape visima vya pesa hapa watisoma namba.unless tuwakopeshe uhuru ndio awaonyeshe njia.
Mganga wa chato amechanganyikiwa kabisa.hivi story ya bomba ilikufa natural death nayo sgr hata hawawezi inusa.bagamoyo hamna duh no wonder hawa wana machungu na maendeleo yetu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.