Wanigeria waongoza kwenye orodha ya wanafunzi wa kigeni chuo kikuu cha JKUAT, Kenya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,228
50,373
Wanaelekezwa na vyuo vya Marekani kuja JKUAT kwa ajili ya ubora wa pale.

ozcfwzc6ihgjilury577580500660f.jpg

Nineteen Nigerians have graduated with PhDs from the Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (JKUAT).
They were part of 75 doctorate students who graduated during the institution’s 27th graduation ceremony yesterday. A total of 4,086 students graduated with diplomas and degrees in different disciplines offered by the institution. Apart from the Nigerian students, 14 other foreign students earned their doctorates at the university.

This year’s graduation ceremony recorded two firsts for JKUAT since inception. One, it had the largest number of PhD students. Two, it had the most number of foreign students – especially Nigerians. CENTRE OF EXCELLENCE Catherine Uloko, the vice rector at Kaduna Polytechnic, was one of them. Her doctorate, like that of many of her fellow countrymen who graduated, is in entrepreneurship. Dr Uloko said she came to study in Kenya after being referred by the University of Illinois when a partnership was formed to build the capacity of institutional leadership, especially on entrepreneurship.

“The polytechnic management in conjunction with the Federal Government decided to introduce entrepreneurship and decided to go to Illinois but we were told that JKUAT could offer what we were looking for without us necessarily going to the US,” she said. She added that one of their reasons for coming to Kenya was the testimony by University of Illinois that JKUAT is a centre of excellence. Ten other Nigerians are still studying for their doctorates at the institution. “Our prayer is that when we talk to the vice chancellor, we shall be allowed to start these programmes back home in Nigeria,” Uloko said.

But it was not only the Nigerians who stole the show, local politicians and leaders also sought to get more powers to read. Gichugu MP Njogu Barua, Tharaka Nithi Deputy Governor Eliud Muriithi and Chai Trading Company Limited Managing Director Charles Mbui graduated with doctorate degrees.
Read more at: Nigerians top list of foreign graduates at Jomo Kenyatta University
 
Nigerians wapo kila kona. Ukiona wananigeria wanajaa kwenye nchi yako sio jamba la kujisifia ni jambo la kuonea huruma na kuchukua tahadhari. Hawana jema hawa jamaa wakipata nafasi wataharibu tu.
 
hapa kitu cha muhimu ni university ya Illinois ina recomend wanafunzi wa Africa waje wasomee chuo cha kenya badala ya kujisumbua na kwenda America.
hawakuqmbiwa waende SA, wala Egypt wala Algeria. . wanaambiwa nendeni Kenya mtafundishwa entrepreneurship sawasawa kana kwamba mko marekani
 
alafu pia nilisoma story nyengine ya mamq m cameroon anaeishi kenya na mwanawe mlemavu...
anasema waliamua kumpeleka mwana wao chuo bora zaidi marekani ili apate mafunzo bora zaidi kamq mlemavu...wakati walikua wana apply visa ya USA, serikali ya marekani ikamwambia haina haja ya kutumia pesa nyingi kumsomesha marekani, akaambiwa aje kenya kwa shule flani ya walemavu na mwanawe atapata mafunzo bora zaidi akiwa hapa hapa barani Africa
 
Kweli Kenya kuna vyuo bora vyenye ulinzi na usalama wa kutosha mbali na elimu bora.
 
hapa kitu cha muhimu ni university ya Illinois ina recomend wanafunzi wa Africa waje wasomee chuo cha kenya badala ya kujisumbua na kwenda America.
hawakuqmbiwa waende SA, wala Egypt wala Algeria. . wanaambiwa nendeni Kenya mtafundishwa entrepreneurship sawasawa kana kwamba mko marekani

Hilo hapo ndio jambo la msingi.
 
M
Wanaelekezwa na vyuo vya Marekani kuja JKUAT kwa ajili ya ubora wa pale.

ozcfwzc6ihgjilury577580500660f.jpg

Nineteen Nigerians have graduated with PhDs from the Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (JKUAT).
They were part of 75 doctorate students who graduated during the institution’s 27th graduation ceremony yesterday. A total of 4,086 students graduated with diplomas and degrees in different disciplines offered by the institution. Apart from the Nigerian students, 14 other foreign students earned their doctorates at the university.

This year’s graduation ceremony recorded two firsts for JKUAT since inception. One, it had the largest number of PhD students. Two, it had the most number of foreign students – especially Nigerians. CENTRE OF EXCELLENCE Catherine Uloko, the vice rector at Kaduna Polytechnic, was one of them. Her doctorate, like that of many of her fellow countrymen who graduated, is in entrepreneurship. Dr Uloko said she came to study in Kenya after being referred by the University of Illinois when a partnership was formed to build the capacity of institutional leadership, especially on entrepreneurship.

“The polytechnic management in conjunction with the Federal Government decided to introduce entrepreneurship and decided to go to Illinois but we were told that JKUAT could offer what we were looking for without us necessarily going to the US,” she said. She added that one of their reasons for coming to Kenya was the testimony by University of Illinois that JKUAT is a centre of excellence. Ten other Nigerians are still studying for their doctorates at the institution. “Our prayer is that when we talk to the vice chancellor, we shall be allowed to start these programmes back home in Nigeria,” Uloko said.

But it was not only the Nigerians who stole the show, local politicians and leaders also sought to get more powers to read. Gichugu MP Njogu Barua, Tharaka Nithi Deputy Governor Eliud Muriithi and Chai Trading Company Limited Managing Director Charles Mbui graduated with doctorate degrees.
Read more at: Nigerians top list of foreign graduates at Jomo Kenyatta University
Mkuu hapa tupo juu sana na tukisort shaabab na corruption growth ita shoot past 8%.hawa wenzetu hata rais wa ma pushups kawaita vilaza nani anaeza taka phd toka huko....:D
 
Udsm tunao wengi tu wanasoma law, nadhani hawaamini ubora wa vyuo vyao maana wote waliokuja ni best performers wa Nigeria.

Hivi kama aliyesoma chuo kikuu, huelewi maana ya '-univers' kwenye jina university.Unadhani kuwepo wageni ni ushahidi tosha ya kutokuwepo kwa elimu kwao??? Ama unadhani shahada zenu ni za kipekee?? Kwa taarifa yako, wandugu zetu wa nigeria ni wasomi kweli kweli, maPhD huko sio kitu cha ajabu, hadi wanakosa ajira.

Nigerians wapo kila kona. Ukiona wananigeria wanajaa kwenye nchi yako sio jamba la kujisifia ni jambo la kuonea huruma na kuchukua tahadhari. Hawana jema hawa jamaa wakipata nafasi wataharibu tu.

Xenophobia.Chuki dhidi ya mgeni usiomjua wala nini, unaeneza uongo na chuki dhidi ya mwaafrika mwenzako. Hivi angeenda marekani kuisomea shahada lake,angepambana na ubaguzi wa rangi, angefika kwenu kwa angepata hili lako. Kweli mwaafrika anazinguliwa kila kona,hata na wenza. Naogopa vizazi vya kesho kwa huu mtindo. Jiokoe.
 
Kweli Kenya kuna vyuo bora vyenye ulinzi na usalama wa kutosha mbali na elimu bora.
enda ukakumbatie transformer kama unaona si haki wanafunzi wa africa wanatumwa huku kwenye "vita" na nyinyi wenye amani na utulivu mumeachwa hivyo hivyo
 
hapa kitu cha muhimu ni university ya Illinois ina recomend wanafunzi wa Africa waje wasomee chuo cha kenya badala ya kujisumbua na kwenda America.
hawakuqmbiwa waende SA, wala Egypt wala Algeria. . wanaambiwa nendeni Kenya mtafundishwa entrepreneurship sawasawa kana kwamba mko marekani

Hiyo ni janja don't fall for that, ukweli ni kwamba hawa jamaa nchi nyingi haziwataki sababu ya reputation mbaya waliyojijengea. Unadhani watawa-redirect kwa kisingizio gani kama sio hicho! Italy walisema kabisa hawataki watu kutoka Nigeria. China, UK, Canada waliongeza screening kwa raia wa Nigeria na nchi zingine nyingi. Tz wamejaa kuuza unga tu, kila wanapoenda wanaharibu. Goodluck with them Nigerians
 
Xenophobia.Chuki dhidi ya mgeni usiomjua wala nini, unaeneza uongo na chuki dhidi ya mwaafrika mwenzako. Hivi angeenda marekani kuisomea shahada lake,angepambana na ubaguzi wa rangi, angefika kwenu kwa angepata hili lako. Kweli mwaafrika anazinguliwa kila kona,hata na wenza. Naogopa vizazi vya kesho kwa huu mtindo. Jiokoe.

Call it xenophobia ila Nigerians hawana maana, Tz wamejaa kuuza unga tu. Ukisikia mtanzania kashikwa na madawa 90% ni mnigeria anayetumia passport ya TZ na wote walikuja kwa gia hizo hizo nzuri za kusoma, kusambaza injili nk. Nchi kadhaa zimeshasema wazi haziwataki hawa watu na zingine nyingi zimeongeza screening process kwa watu wote wanaotokea Nigeria. All these countries couldn't be xenophobic. Siwachukii bure ila ni sababu ya sifa waliyojijengea.
 
si jambo la kufurahia kabisa ukiwaona Wanaijeria wanamiminika eneo fulani..kawaulize South Afrika au nenda hapo kwenu Namanga border ukaulize wanayoyafanya
 
Wakenya tumewazoea kwa kupenda misifa.Sasa ndoo nn wakija kusoma hapo Kenya.Sisi Tanzania mbona sehemu nyeti kaja vile vyuo vya kijeshi yao wanaijeria wamejaa,wasauzi Afrika,nyie Wakenya,Wasumbiji na nchi nyenginezo kisha kwa idadi mkubwa sana lakini husikii misifa humu wala kutangaza namba tulivyo bora katika kupika watu wa usalama katika Afrika.Ila nyie vitu visivyo na mbele wala nyuma mnavipaisha.Sisi Tz ndoo breki yenu,akili zetu Mara 90 ya kwenu.Mlitujua kwenye ishu ya bombs Tanga-Uganda.
Acheni misifa jirani zetu.
 
Call it xenophobia ila Nigerians hawana maana, Tz wamejaa kuuza unga tu. Ukisikia mtanzania kashikwa na madawa 90% ni mnigeria anayetumia passport ya TZ na wote walikuja kwa gia hizo hizo nzuri za kusoma, kusambaza injili nk. Nchi kadhaa zimeshasema wazi haziwataki hawa watu na zingine nyingi zimeongeza screening process kwa watu wote wanaotokea Nigeria. All these countries couldn't be xenophobic. Siwachukii bure ila ni sababu ya sifa waliyojijengea.
Nchi ya watu millioni 200 millioni na ndogo kuliko bongo, umeona wote ni wauza unga. Unawaona kama hatari, kwa msingi wa uraia wao..sina shaka wewe ni baadhi ya xenophobes wanaoweza kumchoma jirani/mgeni kisa amekuzidi kwa akili .Kama wale wasouth afrika,wewe na wao kitu kimoja. Nilipo hapa nairobi,ninao wanijeria wachapa kazi na wacha mungu vinoma,sina shaka nao.Huwezi kuwahukumu kwa makosa ya wenzio.

Ikiwa mna ishu na unga, kwa nini msiyatoe na soko lake??

Niambie mawazo yako kuhusu wakenya,imeonekana wazi zako kuhusu wanigeria.
 
Call it xenophobia ila Nigerians hawana maana, Tz wamejaa kuuza unga tu. Ukisikia mtanzania kashikwa na madawa 90% ni mnigeria anayetumia passport ya TZ na wote walikuja kwa gia hizo hizo nzuri za kusoma, kusambaza injili nk. Nchi kadhaa zimeshasema wazi haziwataki hawa watu na zingine nyingi zimeongeza screening process kwa watu wote wanaotokea Nigeria. All these countries couldn't be xenophobic. Siwachukii bure ila ni sababu ya sifa waliyojijengea.

Bufa
Dunia hii kila nchi ina watu wake wabaya na wazuri, itakua hauwatendei haki Wanigeria wanaojizatiti kutafuta elimu na kuwatuhumu kwa masuala ya dawa za kulevya. Leo hii Tanzania ndio inafahamika dunia yote kwa sifa mbaya za kuwachinja na kuwatafuna albino, na kunyofoa viungo vyao. Sasa kuwa makini unapoelekeza kidole cha lawama maana ukumbuke na cha gumba kinaelekea uliko.

Waache Wanigeria wasake elimu, nyie Waswahili kama mumeona sawa mucheze bao na pool mitaani, wenzenu hawalali wapo kwenye vitabu. Halafu cha mno ni kwamba wanasaka shahada ya uzamifu (PHD) wakati wengi wenu mnaotokwa na uharo humu mumeishia darasa la saba.
 
Back
Top Bottom