Recent content by BURUDIKA

  1. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Logo

    Tunatengeneza LOGO za makampuni, biashara binafsi, camps, teams, shule, vikundi vya ujasiliamali, tunaprint t-shirt kwa logo uipendayo na vinginevyo, BEI ZETU NI RAHISI SANA. Mawasiliano zaidi piga 0714442267.
  2. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Tenda ya kufundisha elimu ya kujitegemea

    Nataka nami niwe nafundisha jamii mambo ya biashara na ujasiliamali. Je, naweza pata nafasi hapo kwenu tuwe tunashirikiana? My profession is bachelor of Business Administration and Graphics Design.
  3. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa Sales and Marketing

    Kampun gan?
  4. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Interview-PWC

    Duh! Au ndo kimya kimya wadau?
  5. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Ma-HR hamna huruma kabisa

    Mmh! Iyo NGELI mdau kama ndo unapeleka kwa interview hata kama walikuwa wanagawa nauli cjui kama utapewa.
  6. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi

    Nilikuwa napita tu mdau kumbe ulishawai kumulikwa na camera ya wadadisi? Mmh! Kwaheli.
  7. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Rais angeanza kusimamia hili kwa Tanzania pia, ingesaidia vijana wengi?

    Itasaidia sana TZ.
  8. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Majibu kutoka kwa HR wa Viettel Global Investment (Viettel Tanzania)

    Tunaomba updates wadau.
  9. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Job Vacancy: Sales Personnel/Representatives

    Amina.
  10. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu Mishahara ya FINCA International

    Kama ni loan officer nenda ukiwa tayari kufanya simple logical calculations na kama sales basi jua ni jinsi gan utamuaproach mteja na utatusaidia vp ili tuweze kuuza zaidi. UMEPIGIWA SIMU LINI MDAU?
  11. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye interview bila kuwekewa adress ya kampuni

    Anaenda yeyote?
  12. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Interview-Puma Energy Graduate Trainee

    Hawa jamaa nao PASUA KICHWA coz kuna washikaji waliapply na wana sifa zao but hata kubipiwa hakuna. Mh!????
  13. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Urgent: Natafuta Researcher for Data Collection

    I am competent in research but i have a bachelor degree in business administration. Twaweza apply wadau?
  14. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya kupata ajira Tanzania

    Jamani naombeni mnisaidie TRA niliapply na refference namba nilitumiwa ila nashindwa pakuanzia na million 3 sina. NIFANYEJE WADAU?
  15. BURUDIKA

    JamiiForums Tanzania Majibu kutoka kwa HR wa Viettel Global Investment (Viettel Tanzania)

    Nawasalimu wana jf, samahani vipi hawa jamaa na usaili wao wa kuanzia tar 15 may au gelesha?
Back
Top Bottom