Hata kama umeenda vyuo husika vie vile unaweza ukakosa hiyo transfer jins wanavyodai wao .Wanasema wanamkubalia mtu kufnya transfr kutokan na slots zilizobaki na kama mpo weng na slots n chache mtashindanishwa kupata hizo nafas.
Hapa tunasaidian kimawazo sio ishu za kuanza kuweka kejel au kuongea vitu kwa kusanifu watu. kama Huna ishu ya kuandika huku kaa kimya wengn wanapata mambo muhim. mambo ya form six na diploma yanatoka wap wakat umeona kuwa wanataka watu wa diploma kujadili ishu za msingi. mm nashindwa kuelewa...
Huu. sasa swali linalonitatiza inamaan diploma wote hawajapata mkopo au? kwa chuo nilichosoma hakuna hata mmoja aliyepata mkopo labda kama kuna diploma holder amepata atujuze hapa
Mm nilienda loan board kuulizia kuhus hii ishu ya mkopo . Majibu niliyopewa n kwamba hawawez kujibu chochot mpk jumatano coz bado hawajamaliza kupanga mkopo so wanadai tuwe na subira. kinachonipa shida ni juu ya mahusiano kat ya NACTE na TCU. Kwann TCU deadline ya transfer ilikua 10 na...
Kuna watu wa me chaguliwa koz za non priority na wamepata mkopo na wengn wamechaguliwa koz za priority hawana. mm sijaelewa bado labda mkopo ni bahati tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.