Recent content by Burito nyanza

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewakosea sana watu wa Kizimkazi; awaombe radhi

    Kwa kipi wanachokizalisha.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

    Kwani wakiendelea kuishi au wakihama wewe unanufaika na nini.wao wenyewe waliamua kuishi huko Leo unaleta chuki utazani wanaishi mgongoni kwako.
  3. B

    JamiiForums Tanzania January Makamba tunajua Hayati Magufuli alikubatiza kwa moto, Unapoteza muda tu

    Na hata mama yao huyo ipo siku watamnawa na kumzihaki pia.
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa. Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, anaishi nje na kuja nchini kimatukio

    Huyo mropokaji tu Hana uwezo wa kumfikia risu hata kidogo. Mrop mr
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakuu wa shule kumchangia fedha ya kuchukua fomu ya Urais Rais Samia 2025, hiki ni "kituko" cha kufungia mwaka

    Isije kuwa walimu wawili wamekaa wakajiongopea huo uongo.kuna haja ya kupiga kula ili kujua wangapi wanaunga mkono hilo.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa milioni moja kama mkono wa pole kwa ndugu wote waliopoteza wapendwa wao

    Ukweli ungesema serikali imetoa fedha sio utaje mtu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kituo cha Polisi Wilaya ya Butiama chajengwa kwa Tsh. Milioni 802, kukamilika Desemba 2023

    Hapo CAG ni macho yetu hakuna haja ya kumleta.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Tulichokuwa tunalalamikia ni IGA sio HGA. Serikali imewadanganya Wananchi

    Hio laana haitawaacha salama.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Sophia Mjema: Rais Samia ni hadi 2035

    Kumbuka mungu nae yupo anaweza kufanya jambo hapo.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kasaka: Jengeni Imani na Serikali Iliyopo Madarakani

    Huyo mbunge yeye anauhakika na posho za kila mwezi na pindi miaka 5 ya ubunge wake kufika kikomo anachukua zaidi ya milion 200 kwa huo mda mfupi ambazo hata mfanyakazi alietumikia taifa miaka zaidi ya 40 anakutana na kikotoo.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

    Lakini mkumbuke hayo mnayowaza na mkumbuke mungu yupo anawasikia kabisa hayo mnayo danganyana.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Najaribu kufikiria kama tungewapambanisha Samia, Magufuli na Lissu leo ungemchagua nani?

    Achana na mwamba!mwamba alikuwa habari ya mjini.
Back
Top Bottom