Recent content by buraro

  1. B

    JamiiForums Tanzania PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    toa hoja zenye mashiko shetani hana dini uislamu unaingiaje hapo wakati ni maoni ya katiba hata wewe unaruhusiwa kuomba ukristo ndio uwe katiba suala ni maoni yako yaweje
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere; mgeni Mohamed Said - Radio Imaan

    No evidance no right to speak ni hivi mkubwa TAA ilianzishwa 1929 chini ya abdul sykes na dosa aziz wakati huo nyerere ana miaka 7 mwaka 1953 abdul sykes alitumwa UNO kudai uhuru akanyimwa kwa kua yeye ni muislamu waingereza wakamwambia watafute mkristo halafu watafute na chama kingine ndio...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Musoma Mjini wamuomba Prof Sospeter Muhongo kugombea ubunge

    mura hizo habari umezitoa mtaa gani mbona huyo muhongo hafahamiki hapa msm town ukweli kazi wanayofanya chadema hawa ccm wasahau hili jimbo kabisa naomba wadau mfike musoma mjione wenyewe haya tunayosema
  4. B

    JamiiForums Tanzania Polisi kanda maalum: Tupo tayari kuilinda bakwata na viongozi wake....

    sidhani kama bakwata iko pale kwa kuwatumikia waislamu mana inashangaza iweje tasisi binafsi zijenge mashule,hospitali na misikiti tena ya ghorofa kama hapa musoma halafu bakwata washindwe hv kunanini hapo siwatoke wasaidiwe kazi.
Back
Top Bottom