Recent content by bunyongala

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kipigo kwa Waandishi: Jeshi la Polisi latinga Makao Makuu ya CHADEMA...

    mtahangaika sana na hizo ngonjera zenu! fisadi fisadi fisadi kwanza hilo neno mlikuwa mnalipinga sana lkn leo liko midomon mwenu kunani yuko ndan sio fisadi katoka fisadi! TUMECHOKA TUNATAKA MABADILIKO! MKAE BENCHI KWANZA TUWAANGALIE WENGINE
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hii dhana ya kuwa ukiwa masikini ndio unakuwa kiongozi mzuri aliiasisi nani?

    Naaaaam! nakuunga mkono nikitilia mkazo maskin anahubir amani zaidi kusudi wenye kuwa nacho wakitumie kwa utulivu lkn kiongozi tajiri anatupa maarifa yaliyomfikisha hapo alipo na ndio dira ya maendeleo huwezi kuvushwa na amayeongozwa na mitazamo ya umaskin
  3. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    idara ya msingi nipo Dodoma manispaa nije manispaa ya kibaha pwani 0653215547
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

    . mtoa mada namuunga mkono kwa asilimia zote vile vile wew upo ktk makundi hayo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dr. Slaa: Wanasheria wamkabili Lissu

    huyo mungu unayemwamini jiulize umemzihaki mara ngapi pamoja na hii unayoifanya!!?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Leo ndio siku nimekuja kuamini Dr hakuwa na dhamira ya dhati ya mabadiliko ktk nchi yetuu! zaidi nimeona jinsi gani alikuwa analengo la yeye apitishwe na ukawa apeperushe bendera ya ukawa ktk kinyang'anyiro cha kwenda ikulu lkn kwa hali ya kawaida asingeweza kupana na magufuli!!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Wakenya na Watanzania

    za ndani ziko wapi iwapo ht stick za meno hatutengenezi?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    [QUOTE=kamusi; gunia linasafirishwa kwa bei gani ukitumia usafiri wa fuso alipoandika sh 750 k cjamuelewa aisee
Back
Top Bottom