Usithubutu. Sawa endelea. Nilitaka kukukataza bure. Wewe hukipendi. Nilikuwa na mbwa wakati andunje anamtoa bungeni Lissu. Nikamuita Ndugai kwa kumbukumbu. Huwezi amini. Alikufa kwa kichaa cha mbwa. Nikakumbuka mwenye jina ni mteja Mirembe. Nilisikitika.
Hilo jina lako na mabandiko yako haviendani. Inanikumbusha mbilikimo kuitwa tall, mweusi ti akiitwa zungu! Wewe ni lofa kabisa kiakili. Mwongo baradhuli aso haya. Unajiaibisha na kujidhalilisha mwenyewe. Nifanyalo sasa hivi ni kukurekebisha. Ndio lugha stahili kwa kibwengo kama wewe.
Nape...
Hili jambo la rushwa na CCM sio ajabu. Kuna wakati hilo neno lilifutwa kwenye kamusi ya hicho chama. Kwa kile kijulikanacho kama rushwa likawekwa neno takrima.
Kwa wengine wote ni rushwa lakini kwa CCM ni takrima. Kangi Lugola alifikishwa hadi mahakamani kwa tuhuma za rushwa. Kesi iliishaje...
Mtu wako huyo. Kuna wakati mwendazake alifagilia UD. Ukaona kawivu. Ukaifagilia SAU. Katika mazao bora ya chuo hicho kikuu ukamtaja Abbas! Imekuwaje leo? Kwa mwendazake na ...chako kuna utetezi wa hovyo kuwa hao ni wa sayansi. Je, huyu naye? Hamchelewi kusema kasomea sayansi ya mawasiliano/sheria!
Duuuh hii ni hatari na robo tatu. Ungekuwa mkweli ungezikwa naye. Kuna watu walikuwa wanazikwa wazima na machifu tu wa vikabila tena vidogo. Iweje wewe utudanganye kwa hayo mahaba kwa mfalme wa makabila takriban 130 ubaki na porojo zako hizo? Tafakari. Chukua hatua!
Wewe fala hujiulizi kwa nini hatukuona hizi tantabelua wakati wa mazishi ya baba wa taifa!
Kilaza wa vilaza katika ubora wako. Unatambua ni wasomi? Upeo wa msomi kuwa dharau nyepesi nyepesi mitandaoni? Alieleweka na hao wa chini kwa sababu hawaelewi wakielewacho na ndio maana wakawa wa huko...
Kukurupuka kimawazo ni kukurukakara isiyo na tija. Hakuna anayetetea vyeti feki. Inapingwa njia iliyotumika kuondosha wenye vyeti feki. Two wrongs do not make a right! Vyeti feki ni moshi. Upatikanaji wake ni moto. Tungeondoa moto.
Wajinga na maneno yao ya kijinga kwendaaa na ndorooooobo badala ya hoja. Hoja ni hiyo tu ya fulani ana cheti feki iseme mahakama. Mengine ni kukurupa kama na wewe unavyokurupuka kutetea ujinga na udhalimu wa serkali ya mteuzi wa Gambo!
Father of None, kwani ni kweli uko hivyo unavyoandika? Au ni kujichetua tu? Unadhani Kenya wangetoa/walitoa concession chini ya hapo? Mradi ilikuwa upitie Kenya. Kama ni kutoa quotations walianza wao. Kenya ardhi ni kaa la moto wa mkaa wa mawe. Ardhi ni ya watu/majitu binafsi yenye kujua thamani...
Wengi tulidhani ujio wa Tanesco Chanika utamaliza matatizo kibao ya eneo husika. Haijawa hivyo. Hata hakuna mwelekeo chanya.
Hili la Kidugalo ni kama mwendelezo wa suala kama hilo Vikongoro Chanika. Jiulize Nyeburu wapate umeme wa REA na Vikongoro wakose! Vigezo gani vinatumika? Kigezo ni...
Walipofukuzwa vyeti feki waliajiriwa vyeti halali wangapi? Tambua nia na sababu za kufurusha vyeti feki. Lengo halikuwa kuwepo na watumishi sahihi wakitoa huduma sahihi kulingana na taaluma zao sahihi. Hapana.
Ulichoandika bwege lolote lenye kujua KK laweza! Jaribu kumzidi hata kwa milimita huyo bwege. Tafakuri mufilisi.
Serkali igundue! Nani aliwaajiri? Alitumia vigezo gani? Aliyewaajiri anajulikana? Kawajibishwaje? Kuna walimu wengi walikuwa waalimu kwa vipaji vyao na sio kisomo chao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.