Recent content by bunda.com

  1. B

    Wananchi kanda ya ziwa waanza kurudisha kadi za CHADEMA!

    Uyo mapombe ana nn kipya? Watz ni wepesi wa kusahau sana kama atapita basi hiyo miaka mitano tutaiona kama 50
  2. B

    Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    Kuna kiongoz mmoja wa ccm aliwai kusema ukitaka kufanya mambo yako ukiwa salama ingia ccm, sasa kibonde huwa anajiamin kwa kias iko sababu ya ngao aliyo nayo
  3. B

    Tundu Lissu atinga Bungeni na kuamsha ari ya Bunge

    Lissu ni moja ya lasilimari watu muhimu sana pale bungeni na ninais ukawa wakichukua nchi jamaa atakua key ya kuwakilisha vizuri nchi ktk mikataba na mambo muhimu ya nch
  4. B

    Stephen Wassira: Mwanasiasa mwenye msimamo thabiti

    wewe jamaa naomba ututake radhi watu wa bunda kwan uyo wassra wako hajawai kufanya ayo yote unayo yasema kama unamgia debempgie kvngne kwanza anatuaibsha watu wa bunda na mengne meng mabaya namfchia tu
  5. B

    Kuichagua CCM ni sawa na kulalia kisu chenye ncha kali tumboni

    macamanda hachanen nao hawajui waltendalo. jaman watz tumebalk nch iishe?@nyie lumumba memba
  6. B

    Halima Mdee: Mtaji wako nini hasa? Kawe maendeleo yamedorora miaka mitano sasa

    kwa nn majmbo ya kawe (mdee) na ubongo (mnyqa) yaxemwe xn kwa uby? je kuna chuk bnafs au kuna ukwel ndana yawaxemaj? au kwa vle yanaongozwa na cdm? maana waxemaj weng n wale mashabk wa ccm. na n vp hal ya majmbo mengne ya dar yanayo ongozwa na ccm? je tatzo n cdm au serkar? au wabunge wa cdm c...
  7. B

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    kibanda n nan? wasira
  8. B

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    jana nlmfundsha lisu leo dada yake mwguru wkt wa bajet. wabunge wengne wanaongea kana kwamba kuna m2 amewai kufa kwa njaa. abood mb
  9. B

    Siasa za CHADEMA zimefikia ukingoni

    wewe jamaa naic si mtz
  10. B

    Mwigulu Nchemba ni kiboko ya chadema; afanya kufuru Songea.

    kumbe zito ana ufaham xn! na mwguru pia! kumbe wenye uwelewa n weng xn tz hi.
  11. B

    Mwigulu Nchemba ni kiboko ya chadema; afanya kufuru Songea.

    ww ndo unaitaji uchunguzi tena wa t-scan. kivip cdm wameivuruga nchi? na cdm wameongopa nn? kama ww nae unalpwa bas anakulpa ana matatzo
  12. B

    Adui yangu ni mtu yoyote anayeiunga mkono CCM

    naungana naww. na hasie kubaliana nawe ana masilai binafs na ugamban ama hajielewi vizur. Copied
  13. B

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa
  14. B

    Madai ya Serikali kufilisika na yanayoendelea ndani ya Wizara ya Fedha!

    aha jamaa unadhubutu kuonge ivvo am kwel:
Back
Top Bottom