we naona huna akili mpaka unamuongea marehemu naona umeishiwa sera sasa we una wazo gani basi hata leo ukifa familia yako itakumbuka ndio nyie msio na adabu huna ladhi wewe ongea mengine.ila Mungu akusamehe bure
jamani hii nchi sijui viongozi mna mpango gani na wakristu maana sasa naona mnataka Mungu awashughulikie maana mnapigana na Mungu na siyo wakristo kumbe mliposema mnautokomeza ukatoliki Zanzibar mlikuwa hamtanii tumegundua sasa ndiyo maana hata kuchinja mnasema ninyi ndio wenye haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.