Recent content by BUMIJA KAJIA

  1. B

    JamiiForums Tanzania Uelewa mdogo wa siasa za Henry Kilewo ndani ya CHADEMA na ndoto zake

    Umlizoea siasa za hadaa za Magamba, sasa Kikweni yetu mtafundishwa siasa za ukombozi. Naelewa kuwa kuwepo hapo Kikweni unavuna za.Magamba kila wanaposafiri kwenda na kurudi Usangi. Nakushauri kuwa "Mreghenja ni ula wa kukuing'a Kiavia cha kukela, si ula wa kukuisha na matundu kadori kila msi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Madiwani Chadema walipuana.

    Wasiojua maana hawatakiwi kupewa jambo la maana. Adamu Chagulani ni Diwani kupitia mahakamani. Chadema alifukuzwa muda mrefu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwigulu Nchemba na Rage wafunika Shelui-Iramba,amwaga madawati na ambulance

    Huyo Rage siku hizi ameifanya Simba ni tawi la CCM. au mmesahau alivyoipeleka Simba Iramba kujaribu kuzuia nguvu za CHADEMA ktk mikutano ya Mabaraza ya Katiba.
  4. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kumeguka...!

    Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Wakati CCM wakijivunia kumpata Maja, mwanachama wa kawaida ambaye amewadanganya kuwa ni kiongozi wa Chadema, Chadema imevuna Wanachama 689, kati yao 246 kutoka CCM katika Operesheni "Zinduka mabadiliko ni sasa" . Iliyoendeshwa katika jimbo la Kibaha mjini...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuunguruma Washington D.C. Sept. 22, 2013

    Tunawatakia mkutano mwema na wenye mafanikio.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wa Jangwani si mkutano wa 'wapinzani'!

    MACCM akili zao ni ktk mambo yasio na maana kwa Taifa kama wanavyooneka ktk picha hizo.
Back
Top Bottom