mkuu kinachokwamisha watu ni lugha chafu na za dhihaka zinatotumika,Mtu anaandika maelezo ya kina lakini majibu yanayofuata yanaambatana na matusi,wengine ni waoga wa hilo na si kila binaadamu ana ujasiri wa kukabiliana na Negativities,Mtu mpaka anataja vipimo na mahala na bei manake wamekna kwa...