Recent content by bulugujoseph

  1. bulugujoseph

    Natafuta ajira, nina shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini (Bsc Mining Engineering) nina uzoefu wa miaka 3

    Habari wana jamii, natafuta ajira yeyote inayohusiana na maswala ya madini. Elimu yangu ni shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini(Bsc Mining Engineering), nimesajiliwa ERB kama graduate engineer, nina uzoefu wa miaka mitatu nimefanya kazi quarry mine na gypsum mine, na uwezo wa kutumia design...
  2. bulugujoseph

    Natafuta Mtu Anitengenezee Application

    wacheki awa jamaa www.jengasoft.com watakuhudumia
Back
Top Bottom