Mbaya sana ku-attract CIA kukufuatilia kwa karibu. Mataifa makubwa yanaichukulia Tanzania tofauti kabisa na Uganda, Rwanda, Burundi, DRC etc. Ndiyo maana karibia kila mwaka viongozi wakubwa toka US wanatembelea nchi yetu. Serikali hii itafakari njia zake, mwanzo wa ngoma ni lele.
Zamani nilikuwa nashangaa inawezekaneje mtu mwenye umri wa miaka 20s, 30s anakuwa kiongozi wa nchi! Serikali hii imenifanya nione kumbe ni jambo la kawaida kwani matendo ya serikali hii hayafanani na akili za watu wazima.
Ndege (mnyama) wanapo ingia kwenye injin ni hatari sana kwa usalama wa ndege. Kuna visa vingi tu vya ajali zinazo sababishwa na ndege ikiwemo ile maarufu iliyogonga kundi la bata mzinga huko Marekani mwaka 2009 na kulazimika kutua kwa dharula mto Hudson
Mh! Mimi huwa natongozwa mara nyingi lakini huwa sidiriki kufungua zipu. Nakumbuka kabla sijaoa ndo nimemaliza tu Chuo kuna dada mmoja mke wa mwanajeshi alikuwa jirani yetu Dodoma alinisumbua sana mpaka alikuwa ananililia. Nilikuwa namwuliza ananipendea nini kwasababu mme wake ni handsome...
Siku ya kwanza tu nilipo iona video ya NENDA KAMWAMBIE kupitia Star tv (bonga kama sikosei) nakumbuka nilimwambia mke wangu 'huyu kijana anajua kuimba na atafika mbali'.
Asubuhi hii nilikuwa naongea na wageni walio lala kwangu, wanasema kijijini kwao gunia la mahindi wanauza Sh. 8,000/- ukiwa na bahati ndo utauza Sh. 1,0000/-. Kijiji chao kipo umbali wa Km zisizo zidi 15 toka barabara kuu maarufu ya lami. Naona tunataka kuendeleza sekta nyingine kwa gharama za...
Mwanzoni mwa hii serikali baadhi tulifikiri sasa rekodi nzuri iliyotukuka ya Baba wa Taifa Mwl Nyerere inaenda kuvunjwa na mkuu. Lakini duu, tulikosea mno kufikiri hivo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.