Recent content by Bulongwa Investment Giant

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji application ambayo itasaidia kurecord stock movements kwenye maduka yangu mawili

    Habari wadau Nahitaji application ambayo itasaidia kurecord stock movements kwenye maduka yangu mawili. Moja ni Head office na moja ni branch. Yaan mtu anaye uza kwenye branch ,taarifa zote atakazozijaza za stock, zije automatically kwenye taarifa za simu yangu (kwenye head office ). Naomba...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimehisi kuwa na umuhimu

    Hongeraa saana, Mtu anayekumbuka wa nyumbani kwake ni wa muhimu saana ... Watu wengi hujisahahu saana kwa kutokumbuka watu wa home kwao, especially family members...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Milioni 5 ni kiwango ambacho hunisumbua kukivuka, Nifanyeje ili nivuke hii hatua?

    Nivingi mkuu karibuni aina zoote, magufuli, bahasha kaki, salfeti, take aways , foils , parcels za picha nk nk
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Milioni 5 ni kiwango ambacho hunisumbua kukivuka, Nifanyeje ili nivuke hii hatua?

    M Mkuu Tafuta Eneo karibu na sokoo la vyakula , Fungua duka la vifungashio, utakuja kunishukuruu, Vifungashio vinalipa saana, wengi huvidharau lakn ni business moja ambayo inalipaa saana saaana. Nimeianza mwakajana lkn Mungu kajalia saana, awali nlikuwa nauza saruji, lkn nlifilisika. So now...
Back
Top Bottom