Ukipata ela nunua assets mm naamini katika msemo wa hela haikai, kila mtu anamapungufu yake ikifikia ishu ya Ela, unaweza ukawa hunywi pombe lakini unapenda vitu vingine.
Awali chadema walikuwa wanayasema matatizo ya wananchi wanayoyaoata mfano hamna maji umeme barabara mbovu n.k, saivi no agenda yakuzungumza na hamtaki kubadili viongozi ili mpate mawazo mapya, naona ushindi wenu utakuwa finyu sanaaaaa hata mkimpa Tundu lissu awawakilishe.
Marekani wana mstress Iran ili atengeneze na kununua silaha hii inaifanya nchi nyingine za kiarabu zipate wasiwasi na kuitegemea Marekani moja kwa moja na kununua silaha kwao na kuomba ulinzi hence they return income to USA, what an economy.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.