Recent content by BULICHEKA 2o2o

  1. B

    Rais Magufuli afanya Mabadiliko ya teuzi, amteua Mhandisi Mwita kuwa RC Njombe

    HAAAAHAAAAAHAAAA NIMECHEKA KAMA KIBOSILE WAKATI HATA CHAPA JAILII MFUKONI.😀😀😀😀😀😀📻
  2. B

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe iko wazi, Ole Sendeka arudi Simanjiro kuwania ubunge

    Hapa kuna maelezo ya hawa watia nia yaliyojificha ,lakini yanaonekana kwa vitendo .
  3. B

    Mtu anayelipa mahari yote ana maana gani?

    Msitishane vijana. Kama unaweza maliza Kila kitu ubaki kukabidhiwa mke.hata mm nilifanya hivyo hivyo na sasa tuna wajukuu na bado tupo pamoja .
  4. B

    Wachina wanasubiri Rais Magufuli aondoke kwenye bandari

    CHADEMA ndio waliosaini mkataba kwa mara ya kwanza (first instance) serikali sikivu ikafuta deal hiyo.
  5. B

    Matapeli mnaotapeli kwa njia ya mtandao 'laana haiwezi kuwaacha'

    Mpe pole saana.Mimi hata week haijaisha niliingizwa mjini namna hivyo hivyo tena sekunde mbili baada ya kuingiza hela kwa wakala msg zikafuàtana za 500k na simu juuu .Kushituka nimeshatuma 240k .Hadi sasa nàdaiwa na wakala fedha yake. Shida ni kuwa si TCRA wala POLICE CYBER CRIME DEPT...
  6. B

    Serikali yamrejeshea Pascal Mayalla Press card yake iliyozuiliwa kwa takriban miaka 3 ataanza kuonekana Saba Saba!

    JAMANI EEEH, NJAAA IMEISHA SASA !!!! NIPENI KAZI NINA NGUVU TELE
  7. B

    Sijasikia the so called "ubeberu" Zanzibar kwenye kinyang'anyiro cha Urais

    KATIBU MKUU OAU ANAITWA HIZBU. INAKATISHA TAMAA
  8. B

    Hizi shule binafsi dawa yao ni moja tu kulipa madeni yao halafu kuhamisha mtoto kwenda shule ya umma hata kwa mwaka mmoja tu

    I will put you in the prison. (Sijui ndiyo shule unazotaka!!!!. ) KAZA UZI USIMHAMISHE .
  9. B

    Msaada: Wapi wanapatikana wa ku-translate nyaraka zilizoandikwa kwa lugha za Ukrainian au Russian?

    Uko sahihi kabisa ,hiyo ndiyo tasisi inayotambulikana kisheria za JMT wengine wote hawatambulikani.
  10. B

    Kigoma: Boti (MV Nzeimana) iliyokuwa inatoka Sibwesa, Kigoma kwenda Ikola Katavi yapigwa dhoruba na kuzama ikiwa na Watu takribani 60, tisa wafariki

    Poleni ndugu zangu ninakigugumizi cha usafiri wa majini hadi Leo Nina miaka zaidi ya 40 sijakanyaga kwa shangazi mitaa hiyo.
  11. B

    Kutapeliwa

    Polee we,na karibu ndani ya club ya wahanga wa MITANDAONI. Juzi nilileta uzi wa kujinjwa pesa kupitia tigo pesa wachangiaji wakaninanga saana. Jàmani haya mambo yanaweza kukutokea ukabaki unashangaa hasa baada ya kuibiwa. Pole tena Jamaa yangu.
  12. B

    Ifahamu Familia ya Said Salim Bakhresa

    Uliyoandika ni kweli mkuu,sasa hivi nimebaki kapuku.Nilianza mradi wa magari nikawapa wadogo zangu wakati huo wanaishi kwangu mwisho wa siku nimeuzia Kila kitu garage. Safari hii nimejiunga bajaj mbili nimempa mtoto wangu moja aendeshe nyingine asimamie amini nakuambia nimeuza zote nimebàki...
  13. B

    Maiti za vichanga zapotea kiajabu hospitali ya mkoa Katavi

    Hakika ni kipindi kigumu saana kwa wanaojifungua kuanzia sasa hadi uchaguzi upite. Wahitaji watakuwa wengi kuliko upatikanaji wake.EE MOLA TUSITIRI WAJAA WAKO.
Back
Top Bottom