Recent content by bulicheka 2

  1. B

    Marufuku kulima mazao ya chakula jijini Dodoma, hadhi yake sio ya kulima mahindi, mtama nk

    Kila jumatatu wakazi wa Makole wavae nguo nyeupe Majengo njano Ihumwa nyekudu Jiji litanoga hongera kiongozi
  2. B

    Kama Serikali ina nia njema ikubali maoni ya watu iruhusu uchunguzi huru

    Mercenaries (ni mamluki?) Namkumbuka Bob Derdan au? Kwaanae kumbuka tafadhali ninaiamini JF
  3. B

    Huu Uhamaji wa wabunge wa upinzani kwenda CCM mbona ni kizungumkuti??

    Du nimekumbuka mengi nchi ikitawaliwa na jina kubwa Field Marshall inakuwa taabu sana hakuna wa kupinga hata alipokuja Prof Lule nayo ikawa problem
  4. B

    Waziri Mkuu Mstafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Edward Lowassa azungumzia kustaafu siasa

    Hivi kweli tunaamini kulikuwa na Uchaguzi?au ilikuwa kupima upepo 2020
  5. B

    Prof. Kabudi kumbe pamoja na mbwembwe hakufanya mitihani ya uwakili!!

    Walahi bunge live ni muhimu sana wananchi waweze kuchambua we Halima we
  6. B

    TCRA, mtafuteni aliyechomekea picha hii ashitakiwe kwa upotoshaji!. Watu wataaibika na kuonekana hawana maana!.

    Kodi iliyo tajwa ilikokotelewa kutoka thamani ipi?Naomba kueleweshwa unapo niambia mzigo ungetoshwa kupangwa kontena 5 tu
  7. B

    Mapinduzi yawe ni ya kilimo....

    Elimu tukumbuke walio asisi Ifunda tec Mtwara Mosh Agricultural Kibaha,Shybush, Commercial schools Mawenzi DomSec Vurugu schools Kibohehe Charismatic Schools Morogoro Luth jrn sem Vichochoroni schools ntamalizia kesho Ukweli ukiweka vizuri Elimu itaziba mianya yote
  8. B

    Mapinduzi yawe ni ya kilimo....

    Elimu Elimu Elimu Elimu ndio Ufunguo wa kilakitu hata choo cha kuflash usipo mfundisha jinsi ya kutumia itakuwa shida
  9. B

    Kangi Lugola: Kuna baadhi ya Polisi wanataka jeshi langu lionekane la Wagagagigikoko

    Waziri awatake radhi nduguzangu wagaga niwatu mashupavu asiwafananishe kabisa nahao wake
  10. B

    Nilitegemea kuziona CPA ( T ) na ACCA zikitufafanulia utata wa 1.5T kabla ya Polepole kuja kuokoa Jahazi

    Nchi yetu wote tuwe taratibu gugoni kwenye mtandao adithi za kale Abunwasi na wezi arobaini mtakuja najibu Tanzania ya wote
  11. B

    Tanzania ya viwanda: Viwanda vya saruji vimegoma malighafi ya Tanzania ni ghali kuliko kuagiza nje, na Serikali haitaki waagize nje

    Nina shauri iundwe kamati ya bunge haraka tupate ufumbuzi wa jambo hili isije yakatu kuta kama ya wenzetu wa Kenya na sukari isikute na hapa kwetu Tz kunawatu au kikundi kinanufaika nayanayo endelea
  12. B

    Katibu Mkuu wa CCM na Propaganda "Za Kisomi"

    Jf kweli bonge la chuo shikamoo Jf
Back
Top Bottom