Kama Serikali ina nia njema ikubali maoni ya watu iruhusu uchunguzi huru

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Ama kwa hakika, matukio ambayo yameanza kutokea katika Taifa hili miaka kadhaa iliyopita hadi sasa, yamebadilisha na yanaendelea kubalisha sura yetu ndani na nJe ya mipaka yetu.

Tanzania ya leo imekuwa ni moja nchi za kutolewa mifano kwa Utekwaji wa watu, Kuumizwa watu kikatili, Watu kupotezwa na hata Watu kuuawa kikatili.

Sisemi hatuna vyombo mahiri vya kushughulikia matukio haya haramu, La hasha, Ila kushindwa pia kumo licha ya umahiri wa mtu au chombo.

Toka zile enzi za kina Ulimboka, Wangwe, Mawazo, Kibanda, Saanane, Lissu, kutekwa watoto wa watu fulani fulani, Maiti kukutwa kwenye viroba na hata leo hii, Ndg Dewji, ni wazi kuwa Polisi na wanausalama makachero wetu, wameshindwa!!

Ndio kusema kama kweli serikali ina nia njema na watu wake bila kujali tofauti zao, basi iruhusu uchunguzi binafsi ili tusisubiri kufika kwenye level mbaya zaidi!
 
watekaji walikuwa likizo sasa wamerudi 🤡🤡.sisi makapuku na non- tukipotea ndo basi
 
Ni rahisi kushutumu serikali na vyombo vyake kama kula pilao mambo haya duniani kote yanatoke mbona marekani haipiti mwezi watu wanauawa mashuleni au kwenye migahawa au kwenye kumbi za starehe.suala la ulinzi sio suala rahisu kulijadili kama unavyofikiri tuachie vyimbo.tumuombe muumba Dewji apatikane salama
 
Namkumbuka Chinua Achebe (RIP) na Riwaya yake ya "No Longer At Easy. May be in our Nation also we are No Longer At Easy. But I also remember that German Citizen who became also a victim of Adolf Hitler's evil policy of Nazism. One of the memorable quotes of this German stated: "When they came for the Jews I said nothing because I was not a Jew.When they came for the Communists I said nothing because I was not a communist. When they came for the Catholics I also said nothing because I was not a Catholic. Eventually they came for me, and there was no one to come to my rescue. The moral side of the story is Evil has no limits. Therefore we should stand together against it or else we shall never be spared.
 
Ama kwa hakika, matukio ambayo yameanza kutokea katika Taifa hili miaka kadhaa iliyopita hadi sasa, yamebadilisha na yanaendelea kubalisha sura yetu ndani na nJe ya mipaka yetu.

Tanzania ya leo imekuwa ni moja nchi za kutolewa mifano kwa Utekwaji wa watu, Kuumizwa watu kikatili, Watu kupotezwa na hata Watu kuuawa kikatili.

Sisemi hatuna vyombo mahiri vya kushughulikia matukio haya haramu, La hasha, Ila kushindwa pia kumo licha ya umahiri wa mtu au chombo.

Toka zile enzi za kina Ulimboka, Wangwe, Mawazo, Kibanda, Saanane, Lissu, kutekwa watoto wa watu fulani fulani, Maiti kukutwa kwenye viroba na hata leo hii, Ndg Dewji, ni wazi kuwa Polisi na wanausalama makachero wetu, wameshindwa!!

Ndio kusema kama kweli serikali ina nia njema na watu wake bila kujali tofauti zao, basi iruhusu uchunguzi binafsi ili tusisubiri kufika kwenye level mbaya zaidi!
Dhubutu
 
Mleta mada yawezekana unaandaa mazingira ya kuingiza mercenaries. nchini na kuhatarisha usalama(nawaza) !! Ebu acheni weledi wa wa masuala ya ulinzi na usalama tuliowaamini wafanye kazi yao bila bughudha.
 
Ni rahisi kushutumu serikali na vyombo vyake kama kula pilao mambo haya duniani kote yanatoke mbona marekani haipiti mwezi watu wanauawa mashuleni au kwenye migahawa au kwenye kumbi za starehe.suala la ulinzi sio suala rahisu kulijadili kama unavyofikiri tuachie vyimbo.tumuombe muumba Dewji apatikane salama
Kwahiyo Tanzania nayo inaelekea kuwa kinara wa matukio ya utekaji.
 
Ama kwa hakika, matukio ambayo yameanza kutokea katika Taifa hili miaka kadhaa iliyopita hadi sasa, yamebadilisha na yanaendelea kubalisha sura yetu ndani na nJe ya mipaka yetu.

Tanzania ya leo imekuwa ni moja nchi za kutolewa mifano kwa Utekwaji wa watu, Kuumizwa watu kikatili, Watu kupotezwa na hata Watu kuuawa kikatili.

Sisemi hatuna vyombo mahiri vya kushughulikia matukio haya haramu, La hasha, Ila kushindwa pia kumo licha ya umahiri wa mtu au chombo.

Toka zile enzi za kina Ulimboka, Wangwe, Mawazo, Kibanda, Saanane, Lissu, kutekwa watoto wa watu fulani fulani, Maiti kukutwa kwenye viroba na hata leo hii, Ndg Dewji, ni wazi kuwa Polisi na wanausalama makachero wetu, wameshindwa!!

Ndio kusema kama kweli serikali ina nia njema na watu wake bila kujali tofauti zao, basi iruhusu uchunguzi binafsi ili tusisubiri kufika kwenye level mbaya zaidi!
Waendelee tu kuwa viburi ili Taifa lichafuke ,CCM itaondoka kwa gharama ya Damu,Damu ni alama na nembo thabiti ya ukombozi,ili Damu imwagike ni vyema hawa wasiojulikana waendelee kuteka watu.
Naomba sana wateke watu wengi zaidi,wamteke Mzee Mengi pia,wamteke Bakheresa,at the end waje wajichanganye wamteke na hadi Balozi wa Marekani hapo ndo itakuwa mwisho wa hawa mbwa wa CCM.
 
Back
Top Bottom