Recent content by BulamboTz

  1. BulamboTz

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Mimi nataka kujiunga ,niwakute wapi +255655562854
  2. BulamboTz

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kwa vielelezo alivyoonyesha Leo Ontario ,hao wapinzani wetu wa hii project TANZANIA FOREX CLUB ,wanatakiwa wajipange upya,inaonyesha hivyo ni vitu vichache tu alivyotuonyesha,nimehamasika sana Leo nimelala SAA 7:30 ucku,nawatakia ucku mwema
  3. BulamboTz

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    HAO KAMA WANAJIAMINI WATUPIE POST ZAO HUMU,WAONE MCHAKAMCHAKA WAKE,KWANGU MIMI WAMECHELEWA,HIVI HATA MTU ASIYE NA UELEWA MPANA ATASHANGAA- KILA MTANDAO UNAOFUNGUA IMEANDIKWA KUWA HII BIASHARA NDIO INAYOONGOZA DUNIANI NA WATU WANAPIGA PESA NDEFU,NAJIULIZA - HIVI HAO WAPINZANI WETU WANATAKA SISI...
  4. BulamboTz

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    KUHUSU VITABU ,NASHUKURU KUNA MDAU KAJITOKEZA ,TUTAMALIZA BIASHARA
  5. BulamboTz

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    KUHUSU VITABU,KUNA MDAU TUKUTANE AKIWA NA SOFTCOPY ATOLEE HARDCOPY THEN NILIPE HAPOHAPO STATIONERY ,NAMSHUKURU KWA MOYO WAKE WA UPENDO,NAAMINI WATANZANIA TUKIENDELEZA TABIA HII TUTAFIKIA KIWANGO CHA JUU CHA UKOMBOZI WA KIUCHUMI WA TAIFA LETU,NAWAPENDA WOTE WADAU WA UZI HUU,NA SALUTE KWA...
  6. BulamboTz

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    KUHUSU VITABU,MIMI NAOMBA MDAU YOYOTE ALIYE DSM ANITOLEE HARDCOPY HIVYO VITABU 3 VILIVYOPENDEKEZWA,THEN ANIAMBIE TUKUTANE WAPI TUKABIDHIANE ,NITAMLIPA PESA YA PHOTOCOPIES NA USUMBUFU- CALL 0655562854
  7. BulamboTz

    Nauza biashara inayoendelea

    I'm Interested, nitakucheki
  8. BulamboTz

    Nalinganisha gawio langu la NMB na CRDB

    Tusigeuze jukwaa hili KUWA jukwaa LA siasa,hapa BIASHARA,Uchumi NA Ujasiriamali,kama MTU hana majibu atulie,mapovu ya nini ?
  9. BulamboTz

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    MIMI NAOMBA VITABU VYOTE 3 ULIVYOPENDEKEZA UKAVIWEKE STATIONERY ILI TUNAOTAKA KUWA NA HARDCOPY TUVIPATE HAPO ,MIMI NIKO TAYARI KUVILIPIA VYOTE
  10. BulamboTz

    Habari njema mahakamani kwa Karamagi, Muhongo, Ngeleja na Yona ni Magufuli na Ndugai

    MIKATABA NA LESENI ZA MIGODI YA BULYANHULU NA NZEGA VILITOLEWA MWAKA 1994
  11. BulamboTz

    Habari njema mahakamani kwa Karamagi, Muhongo, Ngeleja na Yona ni Magufuli na Ndugai

    IKIWA KUTAKUWA NA HOJA YA KUSHTAKIWA MH KIKWETE,SABABU YA KUSHTAKIWA HAITAKUWA ETI KWA KUWA ALIKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA (1995-2000-2005)Bali ITAKUWA KWASABABU ALIKUWA WAZIRI WA WIZARA YA MAJI ,NISHATI NA MADINI (1990-1995),RAIS ALIKUWA MH. A.H.MWINYI ,ULISAINIWA...
  12. BulamboTz

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    NAWAOMBA WADAU KAMA TUMEMWELEWA ONTARIO KUHUSU KITABU HICHO ,BASI NI MUHIMU KILA MTU ANDIKE WAZO LAKE JINSI YA KUKIPATA KITABU HICHO,HIVYO NI BORA TUKASIMAMISHA COMMENTS ZOTE KWA MUDA ILI KWANZA TUSEMECHOCHOTE KUHUSIANA NA KITABU HIKI,HEBU TUCHANGAMKE BASI
  13. BulamboTz

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    TUKO PAMOJA ONTARIO,KUHUSU HICHO KITABU-LEARNING GUIDELINE BY ASTRO FX- MASTERING TECHNICAL ANALYSIS,MIMI NAUNGANA NA WOTE WALIOSHAURI KITOLEWE HARDCOPY THEN TUKALIPIE HAPO STATIONERY
  14. BulamboTz

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    NYERERE INAONEKANA ULIKUWA UMELALA,HEBU SOMA POST YAKO NI YANGAPI,UMECHELEWA ENDELEA KULALA,USITAFUTE KIKI KWENYE UZI HUU,KWANZA NIDHAHIRI WA KUSOMA,KWENYE UZI HUU UMESOMA POST NGAPI? KAMA HUNA WAZO JIPYA NAKWAMBIA ENDELEA KULALA USITUPOTEZEE MUDA,HIVI WEWE NYERERE GANI? MBONA JINA HALIFANANI NA...
  15. BulamboTz

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    D9 CLUB NI KAMPUNI HALALI HUKO BRAZIL,NA IKIFUATA SHERIA ZA NCHI HUSIKA INAWEZA KUFANYA BIASHARA KIHALALI,KINACHOTAKIWA INALAZIMIKA KUWA NA HATI YA USAJILI KUTOKA BRELA,TIN KUTOKA TRA,LESENI KUTOKA WUZARA YA VIWANDA ,BIASHARA NA UWEZESHAJI,KIBALI CHA BIASHARA KUTOKA BOT NA CSMA ,KUWA NA KAUNTI...
Back
Top Bottom