Katika pita pita zangu mikoa mbali mbali hapa Tanzania, ARUSHA wamejitofautisha sana na mikoa mingine mingi hapa nchini kwa sbb hotel au lodge ya kawaida tu wana service ya Wifi kitu ambacho huwezi kukipata mikoa mingine hapa nchini.
Kwa hili Arusha niwape maua yenu, Mikoa mingine igeni basi...
SIMBA tupambane sana mazoezini. Hii ndio silaha yetu wachezaji wengi wa SIMBA FITNESS ipo chini sana.
Pili SIri za TIMU nani anazitoa ndani kwenda nje? Hili ndio tatizo kubwa SIMBA.
Mwisho solution ya kuifunga kila TIMU ni kuongeza ufanisi golini timu kwa sasa inacheza vzr.
YANGA inatunga...
Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa hii kwa sasa pia abiria wanaoenda DAR IRINGA mtu anapanda zake SGR mpaka DOM then anakwea bus la...
Je huu mfumo wa TRA kwa nini hawajaintegrate na mfumo wa NIDA ili kupunguza kupata data ambazo ni tatizo huko mbeleni. Je kwa nini wasingetumia mfumo wa TUME YA AJIRA AMBAO TAYARI UPO.....
Kama TAIFA TUNARUDI NYUMA.
Mwenendo wa Simba sio mzuri kwa hii miaka miwili sasa kutokana na Viongozi kutosimama imara. Pia Viongozi wa Simba kuruhusu Jeneza kuingia Uwanjani Siku ya Simba Day ilikuwa sio nzuri kwa mustakabali wa kiimani za watu.
Simba kutoka hapa tulipo wafanya yafuatayo Msimu Ujao
Kuondoa wachezaji...
Wanasimba tunapigwa pigo jingine, Yanga wapo mbioni kumchukua Phiri azibe nafasi ya Kisinda na Okra azibe nafasi ya Morrisson.
Wana Simba kutokana na Robertinho kutowakubali hao, mwakani tena maumivu.
Viongozi wa Simba Mashabiki na wanachama liangalieni sana suala la wachezaji wa Simba kuna wachezaji SImba wameridhika na matokeo ya huko Nyuma hawajitumi wala kuumia. Mfano Chama anakosa goli wala hauumiii, Mwakani tulete damu nyingine yenye uchu wa matokeo.
Why mwl hawachezeshi PHIRI na OKRAH...
Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga kwa timu zetu.
Watu wanasema SImba na Namungo wanauhusiano lakini me nasema big no kwa sbb Namungo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.