Recent content by bukwimba kwetu

  1. bukwimba kwetu

    Klabu ya Simba yamfungia Kessy

    Acha afungiwe mana nidhamu yake ya chini, uchezaji wake umekuwa wa kutusimanga sana. Hata kama una mke mzuri vipi huwezi mkubalia kukuendesha anavyotaka mara leo hili kesho lile!
  2. bukwimba kwetu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mi naona vijana wanacheza vizuri sana kuliko hata hao wakubwa mfano Benteke hamna kitu kabisa , control yenyewe ni ya chini kabisa.
  3. bukwimba kwetu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kuna tetesi kuwa Gary Cahill wa Chealse anataka kutujoin ili kusecure kiwango chake kwa ajili ya Euro
  4. bukwimba kwetu

    Manji: Tiboroha alificha barua za Niyonzima

    Jamaa kumbe aliwapa waandishi wa habari HAMSINI ELFU kila mmoja nadhani ili wasimpige maswali.
  5. bukwimba kwetu

    Manji: Tiboroha alificha barua za Niyonzima

    Mi naomba na yeye ajibu maana Watanzania kwa propaganda huwezi amini!
  6. bukwimba kwetu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Bwana MosDef naomba unijulishe unakopata hizi habari, make unaelezea mpaka nashindwa niseme nini?
  7. bukwimba kwetu

    Bei za tiles (Marumaru) kwa Mwanza

    Chief nisaidie kama uliweza pata hapa Mwanza
Back
Top Bottom