Recent content by Bukwabi

  1. Bukwabi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna Mke au Mume ukimuacha umekula hasara ya Maisha

    Wamebaki wawili tu wa aina hii, tafuta hela tu.
  2. Bukwabi

    JamiiForums Tanzania Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

    Luhaga Mpina
  3. Bukwabi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Massage ni danguro lililochangamka

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  4. Bukwabi

    JamiiForums Tanzania Watengenezaji wa maji ya Kilimanjaro acheni kuyachakachua, mnaua brand yenu

    Ni kweli mkuu, yawezekana wao hawajui lakini hayana tena ule ubora kama wa awali. Labda yanachakachuliwa somewhere on the way? Au mtaalam wa PH alishaondoka? Kwa sasa tunajaribu sana kuyakwepa kwa kweli
  5. Bukwabi

    JamiiForums Tanzania Masanja Malebo: Wanaume wa Kanda ya Ziwa wana nguvu za kiume

    Haswaa, ukikuta kuna watu wanatumia Vumbi la Congo wametoka nje ya kanda ya ziwa. Watu wa huku hakuna story za upungufu wa nguvu za Kiume
  6. Bukwabi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mbona wanaume wengi huponea kwa Madada wa ndani. Tafuta hela, acha kuishi kwa sister [emoji6]
  7. Bukwabi

    JamiiForums Tanzania Je, Aristotle ndie chawa tajiri Tanzania? Je, ni Mtanzania?

    Kwao ni mbeya. Hiyo lafudhi ni style tu ya kipekee kama Star
  8. Bukwabi

    JamiiForums Tanzania Dhambi hii inaenda kuandikwa Kwa wino wa Chuma

    [emoji24][emoji24][emoji24]
  9. Bukwabi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Uko sawa ,sasa wataolewa na nani wao? Ukimchunguza sana kuku huwezi kumla
  10. Bukwabi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta ukweni

    Usimwache alikurudisha paradiso kwenye asili. Wengi wetu tunapenda vyakula vya mchongo[emoji16]
  11. Bukwabi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani pale unapomwomba Penzi Mkeo halafu anakukazia bila sababu za Msingi?

    Nimecheka sana aisee! Wakupe maua yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. Bukwabi

    JamiiForums Tanzania Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

    Uko sawa. Ameimba tukiwa secondary wakati sisi ni wazee leo. Apache hizo
  13. Bukwabi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninampenda sana ila kwa hili sifikirii kama nitaendelea kuwa nae

    Bora huyo kafunguka. Wengi hufanya siri lakini ni wabovu zaidi. Labda kama hupendi ukweli lkn oa huyo, ni kama ametubu ila aanze upya
  14. Bukwabi

    JamiiForums Tanzania Mjue James Hardley Chase, Mwandishi maarufu wa Vitabu vya Riwaya

    Upewe Maura Yako[emoji122][emoji122][emoji122]
  15. Bukwabi

    JamiiForums Tanzania Mjue James Hardley Chase, Mwandishi maarufu wa Vitabu vya Riwaya

    Mimi nakumbuka title iliyonisisimua inaitwa "You are lonely when you are dead " Lakini nimesoma vitabu kama 40 hivi vya Chase
Back
Top Bottom