Taifa lipi? Labda kama lumumba nalo taifa.hakuna mwenye akili awezaye kuacha shughuli zake kumsikiliza huyo gaidi anayenuka damu za watz wasio na hatia.Jana nilikuwepo maeneo ya Kirumba Mwaloni na watu walikuwa bussy na shughuri zao kama kawaida.Sana sana tumeshuhudia malori yakiwa na watu...
itafika mahala hata akienda msalani mtakuja hapa kumwanzishia sredi ili mvune buku 7 toka kwa mazombi ya lumumba? Kwisha habari yake,ccm tafuteni mbinu nyingine!
Mtahangaika sana makuwadi wake,alishachuja kabaki kushabikiwa na misukule ya lumumba tu! Kwenda kwake huko inawahusu nini watz wengine wanaosubiri maisha bora waliyoahidiwa? Au kwenda kwake huko kutubu usaliti wake kutatuletea maisha bora? Pambafu sana!
Una akili ndogo sana na ndoi maana ulifukuzwa CDM kama mbwa koko.Kuna watu wanaumwa hayo magonjwa na tunakushangaa unapokuja hapa kuwabeza kana kwamba wewe hutaugua.Elimu uliyoipata haijakusaidia kitu zaidi ya kujipendekeza kwa wanaume na kupost ujinga ili uishi.
Kweli ccm ipo taabani,Mdogo wangu aliyepo Magu kanitonya kuwa wameshuhudia vimbwanga vya kusomba watu kwa malori toka Bunda(malori yapatayo 4) kuwapeleka kwenye mkutano wa nchemba Kirumba.Ni aibu kwao na sielewi wanamdaa nani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.