Recent content by buildings tanzania

  1. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Nimemaliza season zote tano za Yellowstone, naweza kusema tawile kwa Director John Linson kwa kunimalizia muda wangu kuitazama series hii yenye addiction kama Cocaine. Sasa wadau nipeni series nyingine niishi nayo
  2. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kuongea mbele za watu 'Fear of public speaking' na namna ya kulikabili

    Hapana mkuu, unapunguza ukubwa wa tatizo wakati unahitaji kuongea mbele za watu ila baada ya muda mfupi tu tatizo linarudi tena wakati mwingine linaongezeka kabisa
  3. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kuongea mbele za watu 'Fear of public speaking' na namna ya kulikabili

    Wakuu hii program mwanzo tutaanza watu 10 tu kisha kutokea hapo tunaweza kuongeza watu zaidi. Kama upo serious drop namba yako PM nitakupigia. Hakuna gharama zozote zitakazochajiwa
  4. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kuongea mbele za watu 'Fear of public speaking' na namna ya kulikabili

    Watu wanachukulia poa hii issue ila kuna wadau hata mimi nawafahamu tena watu wazima kabisa ila wakipewa nafasi ya kuongea lazima watetemeke
  5. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kuongea mbele za watu 'Fear of public speaking' na namna ya kulikabili

    Ili kutatua tatizo la kushindwa kuongea mbele za watu ni kuhakikisha unaongea mbele za watu, No way around. Ukubwa wa tatizo hili unazidi kuongezeka kadri unavyozidi kulificha kwa kukimbia mijadala na vikao ambavyo utawajibika kuongea au kuchangia mada.
  6. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kuongea mbele za watu 'Fear of public speaking' na namna ya kulikabili

    Mkuu siamini kutumia pombe kutatua tatizo linalokukabili. Zipo njia Bora zaidi kuliko kilevi a.k.a kilaji🍺
  7. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kuongea mbele za watu 'Fear of public speaking' na namna ya kulikabili

    😂😂Mkuu unaonekana umeghadhabika sana. Ila naomba tambua kuna watu wengi sana Wana shida hii na namna pekee ninayoiamini ni kupewa platform ya kuongea na kusikilizwa na kurekebishwa mpaka pale utakapokua sawa
  8. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kuongea mbele za watu 'Fear of public speaking' na namna ya kulikabili

    Hahah assume ghafla wageni wamekuja nyumbani kwako unaonbwa utambulishe familia tu unaanza kubabaika
  9. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kuongea mbele za watu 'Fear of public speaking' na namna ya kulikabili

    Habari wakuu Tatizo la kushindwa au kuogopa kuongea mbele za watu ni janga kubwa sana. Mfano tafiti zinaonesha karibu 70%-80% ya watu hukumbwa na tatizo hili mara tu wanapopewa nafasi ya kuongea mbele za watu. Kuna mbinu mbalimbali za kulishinda tatizo hili ikiwemo Kutumia madawa ya hospital...
  10. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Sikuhizi watoto wakiume wanapaka make-up wanawazidi hadi dada zao
  11. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mission Impossible Final Reckoning wame-overdo. Movie imekua more theoretical than real. Ni aina za movie ukiangalia mara moja huna hamu tena ya kuirudia
  12. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mkuu hii Anal Angel ipo vipi
  13. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara anamuacha Mtaalamu wa masoko anaenda kwa Mganga wa kienyeji "Kalumanzila"

    Ukiona hivyo Hao wenye degree za marketing hawana lolote wanalolijua afadhali sangoma tu
Back
Top Bottom