Recent content by Buhare

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku magari haya kuingizwa nchini

    Unayo 21M cash nikupeleke showroom wanakouza IST Old Model? AMA wivu wa kukoswa iyo 21M ndo imekupekea ulopoke hayo? Sema huna uwezo wa kumiliki hata vespa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Huyu unaweza kuta ni Baba yake mtu au naye ana Wazazi wanasema wana mtoto wa kiume

    Mwashamba 😅😅😅😅🙌🏿
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

    Bado tu anaendelea kupokea $90,000 za mababeru za kumchafua JPM? Au Bipolar yake imerekebishwa huko UK? Mana ukimtizama ni kama zrzeka! Hata JKNyerere baada ya kufa kwake hao Waingereza walimzodoa kuwa kaacha Taifa masikini ila leo ndio nembo na Baba wa Taifa letu. Zitaandikwa hekaya nyingi ila...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

    Kabsaa kabsaa nakubaliana na hili wazo, ile ni Halmashauti ya Wilaya tu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    “Matatzo ya Wanywaranda watayamaliza wanywaranda wenyewe” By Mwalimu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Subili utupiwe mawe na wale Wadudu wa nguo chafu. Oooh walinda legacy oooh mwashita ooooh push gang Yaani jamaa wa Kizimkazi ukweli ulioandika hawataki kuusoma kabsaa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Simlaumu Makonda, ni vigumu kuieneza CCM kwa Sasa

    Tena sio chini ya PM chini ya Mkwe (TAMISEMI)
  8. B

    JamiiForums Tanzania Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Now it’s Islamic state 🇹🇿
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

    Kura hazipatika JamiiForums ila zinatoka hukoooo mkoani, hizi Takwimu zinamufaishaje mtu wa Kantalamba?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Hawawezi wakakwambia mana imekuwa aibu kwao na kuusema ukweli sasa kwao ni kama kujipiga na ncha ya upanga shingoni. Acha mwamba alale hajaacha Deni kwa Watanganyika
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Nchini Indonesia kwa ziara ya siku tatu, Januari 24 na 26, 2024

    Mzee Vipi? Indonesia [emoji1129] nayo ipo katika Zile Tiger countries kweli? Au ni nchi inayoongoza kwa idadi kubwa ya Waumini wa Iman ya Kiislam basi. Tiger countries ni Taiwan, South Korea, Hong Kong and Singapore hizo zingine bado bhana, acha kujichetua
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa nani hasa? Mbona kila kundi linamlilia

    Mwizi mmoja wewe unaemiliki vyet fake, mla rushwa mmoja unaekenua mijino ya njano, kapige mswaki Kizimakazi mmoja wewe
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Mkataba Mwitongo ndio walishauri Nchimbi arudishwe kwenye Uongozi

    Mzazi wa Paul Makonda (DB) ni nani na amewahi hudumu katika nafasi ipi ya uongozi wa hii nchi na ndani ya CCM mpk useme kupata madaraka lazima mzazi wako awe ameshika hatamu ya uongozi wa juu? Orodha ni ndefu, ungana nao ule matawi ya juu!
Back
Top Bottom