Recent content by buffalo44

  1. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Acha ujuha, nyie wenyewe ndio mlikua na Kelele kuwa talanta itakua na Folding seats tu, mkapa itabaki na hivyo. Senge. I am waiting Goal line technology pia 😂😂😂
  2. buffalo44

    KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

    Nimeshaenda mpaka tumeenda nikamfungulia mtu wa NIDA ajaze kisawa sawa kwa kuangalia ila hola. Taarifa zote nimeoneshwa na kuandikiwa
  3. buffalo44

    KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

    Eeh hapo verification ndio penyewe now, Mfano NGO members 4 tayari NIDA zao zipo verified ila mimi tu ndio naandikiwa "Something is wrong" mfumo wa NIS Jamii. Na mfumo wa NIDA wa NIN nao naandikiwa taarifa sio sahihi fika wilayani na nishafika na kuhakiki.
  4. buffalo44

    KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

    So kaka shida yangu ni NIN kua blacklisted kwenye database ya NIDA ambayo BRELA na wengine wanavuta verification info? Ila waliniambia NIDA yangu status haina shida na niliwauliza imefungiwa wakakataa. Wanasema iko sawa. Kibaya zaidi wanabehave if wenye shida ni BRELA seriously
  5. buffalo44

    KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

    Nimeichukua muda sana. Though nilichukuliwa na Dada yangu. Na mwanzo ilikua inakubali kusajili Lain ila sasa inagoma
  6. buffalo44

    KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

    😢😢😢😢😢 Mambo ya aibu. Si basi hata wanifanyie wepesi mimi nisajili business yangu niishi japo kula mema ya nchi
  7. buffalo44

    KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

    Hello Wakuu. Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii. Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again" Nimeenda office ya NIDA wilayani nimehakiki kila taarifa na kuangalia status za NIDA inaonesha haina shida wala kukosewa...
Back
Top Bottom