Recent content by Buenos Aires

  1. Buenos Aires

    Unafiki Uliotukuka tutaushuhudia Kwenye mazishi ya Kitaifa ya Lowassa, Wanaccm waliomsaliti watajipendekeza kwa Dr Emmanuel!

    Nini maana ya RIP? Wamemsaliti vipi wakati yeye ni mwanaccm, akaenda chadema kisha akarudi nyumbani kwa ccm, sasa kasalitiwa vipi! Na isitoshe age yake, acha wengine wapambane
  2. Buenos Aires

    TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Yanga, Imani Madega afariki Dunia

    Si unaona sasa, hujui nini maana ya dini
  3. Buenos Aires

    TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Yanga, Imani Madega afariki Dunia

    Kwa sababu huna dini hivyo huwezi kuelewa mkuu
  4. Buenos Aires

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    إنا لله وإنا إليه راجعون KILA NAFSI ITAONJA MAUTI HAKUNA ATAKAEBAKIA ISIPOKUWA ALLAAH سبحانه وتعالى
  5. Buenos Aires

    TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Yanga, Imani Madega afariki Dunia

    Amani ya kutoka wapi! Hivi mnadhani kule ukifika unakunja 4 unakula bata sio! Wewe na matendo yako ndio yatakayokusaidia, mbali na hapo ni jahannam.
  6. Buenos Aires

    TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Yanga, Imani Madega afariki Dunia

    Upo very right, sio wale wa RIP
  7. Buenos Aires

    Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

    Wakisharuhusu uraia pacha watajitokeza kuleta upinzani, suala la umeme litakua historia
  8. Buenos Aires

    Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

    Waruhusu uraia pacha uone suala la umeme kama halitakua historia
  9. Buenos Aires

    Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

    Una uhakika gani ameuawa na Hamas? Naomba ushahidi! Pili, kama nikweli ameuawa na hamas, basi hamas sio wajinga wauwe mtu asieshirikiana na mazayuni! So wapo sahihi kabisaa, hata wewe ukijipeleka kwenda kuwasaidia hao ndugu zako basi hamas yupo sahihi kukumaliza, tena bila huruma.
  10. Buenos Aires

    Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

    Hakimi na ziyech plus Salah hao ni ndugu zetu, ila sio hao makafiri wa kizayuni, biden na makafiri wenzie
Back
Top Bottom