Mkuu nimejaribu kukupigia leo sijakupata hewani.mbona kwenye website machine mmeandika milioni 6 halaf hapa milioni 8? Tafadhali nitumie hizo picha whatsapp 255719033180.
Nahitaji hiyo mashine sana.
Mkuu nimetoka Sido Arusha leo,bei zinaanzia 7m kwa mashine ya kukamulia Alizeti, machine ya kuchuja inaanzia 2.5m na kama utapenda waweke na heater ili mafuta yawe refined utaongeza 5m ,yaani heater peke yake ni 5m.
Kila la heri.
Nahitaji maharage ya njano gololi(Soya njano) kwa wingi,nipo Arusha
Mwenye nayo naomba anipe bei yake kwa gunia.
Nitahitaji na picha.
Whatsapp no.0719033180
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.