Recent content by Budodi jr

  1. B

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Wana galama za kujiunga vipi kuhusu galama za usafilishaji ziko je Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Habari mkuu nimenunu bidhaa eBay lakini muuzaji haja weka track no na inaonyesha amesha fanya shipping ya hiyo items je mizigo isiyo na track no hufika ama la msaada tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Bidhaa niliyonunua toka online maket inaweza kunifikia bila kuwa na track no? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    SPIKA: Tumesitisha kufanya kazi na CAG. Panga pangua Kamati za Bunge yaanza

    Nimekuwa nikifutilia kwa muda sasa matamushi ya spika wa bunge late, mengi yake nashindwa kupata majibu naomba kwa wanao juu mnisaidie juu ya haya 1-bunge lisipo tekeleza wajibu wake wa kisheria lisisemwe na mtanzania yoyote 2-ili mtu uitwe kwenye kamati kinga na madaraka ya bunge ni maamuzi...
  5. B

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Asante sana kwa ufafanuzi wako Mungu akubaliki najifunza mengi kupitia wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Nilinunua bidhaa eBay muuzaji kashindwa kutuma hiyo items na ame refund hiyo kwa PayPal ambao wanapaswa wailejeshe kwangu kama haiwezi hapo inakuwa je Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    Sakata la Spika na CAG: Barua yangu kwa Katibu Mkuu Mabunge ya Jumuiya ya Madola na Maspika na ma CAG Afrika

    Ndipo ninappta shida sana upinzani wa tz wanatuambia wameungana lakini haonyeshi ushilikiano ulio madhubuti katika baadhi ya mambo hii ni dalili tosha kuwa wako pamoja ila hawana umoja Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Vipi simu ilipo fika hukulipia kodi wakati wa kuchukua Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Bado sijakuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Wana jf mwenye ufahamu juu ya paypal acount zinauwezo wa kupokea pesa hapa inchi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Msaada jamani nimenunu kitu eBay baada ya kulipia naambiwa kimeondoshwa kwa kuwa muuzaji si mtumiaji wa eBay market wa muda mrefu nifanye je hapo
Back
Top Bottom