Recent content by BUDHAPEST

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mch. Gwajima asifu utendaji wa Magufuli, Dr Slaa ampongeza Gwajima

    Huyo nae! Magu atamtembelea pale alipo. Anajisogeza sogeza wakat ana scandal kibao. Magu haongeki kwa pesa wala maneno.
  2. B

    JamiiForums Tanzania 'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Mwenye uzi vipi bhana. Hii ni nchi, sio shimo la taka kwamba kila mtu anatupa kadri anavyojisikia. Hivi kila mtu akifanya atakavyo utajisikiaje. Vyakula, mafuta, kampuni za cm, dala dala, mabasi, umeme nk kila mtu apandishe anavyotaka kwa kuwa hakusaidiwa kujenga itakuwaje? Tuliza msuka, elimu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kufutwa sherehe za Uhuru kumeongoza matumizi ya fedha za umma

    Hiyo sio kweli. Mleta mada sio mtumishi wa gov na hana idea jinsi ya hela zinavyotolewa. Huwez kuoda kiasi hicho cha pesa bila issue ya msingi. Na ukumbuke hela zote zatoka hazina. Na cha zaidi hela zilizozuiliwa kwa ajili ya sikukuu haziwezi kutoka bila maelekezo ya juu na si mkurugenzi. Jamaa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lodge au Gesti maeneo ya Dodoma mjini

    Ukumbuke kuwa kwa sasa kuna Bunge ndo maana nasema hivyo. Mdanganye sasa.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Lodge au Gesti maeneo ya Dodoma mjini

    Ndugu kwa sasa sahau pa kulala pa bk 20. Dom imejaa sana labda nje ya mji na uswaz tu.
Back
Top Bottom