Recent content by Budako

  1. B

    JamiiForums Tanzania selection udsm

    Wanatuma ujumbe kama huo. Ni shida tupu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliokosea kujaza taarifa zao katika form za mikopo

    Mkuu nilifika ofisini kwao nikaeleza tatzo wakareset account yangu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliokosea kujaza taarifa zao katika form za mikopo

    Wakuu samahanini, wakati nafanya marekebisho ya kuattach zile missing documents, bahati mbaya nikasubmit kumbe zilikua hazijaapload bado, na baada ya hapo ile option ya 3 ya missing documents ikawa imepotea ihali sijafanya marekebisho yoyote, sasa sijui wakuu nafanyaje maana hata simu hawapokei...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la network windows 10

    wakuu habari yenu, ninatumia pc aina ya dell. nikisearch devices kwa wireless (wifi) device znaonekana ila niki connect wanaandika NetworkUx.ViewModel.SettingEntry. na hata setting hazifunguki. Naombeni msaada juu ya hili,natumia windows 10.natungaliza shukrani zangu za dhati
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya laptop yangu

    shukrani mtu wangu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya laptop yangu

    mkuu nashukuru sana hakika msaada wako nimefanikiwa,shukrani sana
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya laptop yangu

    nilipiga chini windows 7
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya laptop yangu

    ngoja nijaribu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya laptop yangu

    maelekezo yote nimefata na imemiss
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya laptop yangu

    ina rangi ya blue,na nikickick fn+f2 light inawaka ila kwenye tool bar inatokea icon ya bluetooth
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya laptop yangu

    hv windows inaweza kuwa tatizo? sababu kwenye button f2 kuna icon ya wireless but hata ukiclick bado light haiwaki,ukiwa karibu na wireless inaandika your are not connected to any network
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya laptop yangu

    hamna kabisa,hapo ndo nilipochoka
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada Jinsi ya kupata antivirus

    mwalimu naomba na mimi uni pm hiyo link,natunguliza shukrani
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya laptop yangu

    yap,najua sana ndugu
Back
Top Bottom