Hata kama ni kudharau mamlaka hii sasa imezidi. Unaenda Mbeya unataka usafirishe kete na ndege. Angepanda bus hakuna ambaye angemkamata. Hii isije ikawa operation tokomeza umri wa Sitti
Tujaribu kujadili na kufikiria mambo objectively sio kuleta ushabiki usio na maana hapa!
Tunapoongelea kukiukwa kwa katiba ya CDM hakuna haja ya kuihusisha CCM katika hilo! Je Mbowe anaweza kuwa kiongozi imara kama viongozi wenzie wote wa CDM wapo compromised? Je mnaosema kuwa CCM wanataka...
Kama vyama havijapeleka balance sheets then hatuwezi kusema chama hiki kina hesabu sahihi au la. Set nzima ya financial statements inatakiwa ili kuleta thread nzuri na ku establish reasonable opinion. Watu mnaleta ushabiki wa vyama na pesa inaliwa na wachache. Kama alivyosema Zitto Kabwe: CHAMA...
Naona mnabadili muelekeo badala ya kutoa maoni juu ya huyu aliyefunga ndoa na Mbwa na watu waliohusika na ufanikishaji wa ufungwaji ndoa hiyo mnaanza kuelezea ushetani wa dini za kiislam na ukatoliki!
Japo katika maisha husemwa maadili mema hujengwa na msingi imara na mafundisho stahiki...
bubu muongeaji baada ya kupiga Dompo ana haya ya kuongea juu ya zzk na cdm!
Zzk ni binadamu kama wengine, anatamani kama wanavyotamani watu wengine, ni mtu makini sana! Kitila mkumbo si tu kwamba kazi yake inamlazimu kuwa mkweli bali pia kazi yake inamtaka kuwa muadilifu!
CDM siwezi sema...
copied from facebook page
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. KABWE (MB) kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya Chadema"
Ndugu Wanahabari,
NILIPOKUWA katika ziara ya bara la Ulaya kati ya Oktoba 21 mpaka Novemba 2 mwaka huu (2013), nilipokea kwa njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.