Recent content by BUBERWA D.

  1. BUBERWA D.

    JamiiForums Tanzania TRA wagonga hodi kwa Wakulima

    Kwahiyo aliyeandikiwa hiyo barua ni mnyonge ausio!? Acheni ushabiki wa kijinga; tembelea Mang'ola uwaone mabwanyenye. Utaratibu wa wenye mashamba makubwa kulipia kodi ya mapato upo siku zote na ukifuatilia barua hiyo anapewa maelekezo ambayo alitakiwa kuwa ameyatekeleza kabla ya hiyo notice...
  2. BUBERWA D.

    JamiiForums Tanzania TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

    Wewe unaumwa psychophobia na mamlaka za serikali utatetea upumbavu mwingi.
  3. BUBERWA D.

    JamiiForums Tanzania TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

    Point yangu ni matumizi ya lugha. Anyway, wafanyabiashara (wawekezaji) gani hao? Wanakuja na briefcase ya makaratasi wakitegemea fedha ya ndani! Hapo cash inflow iko wapi? Watu wa aina hiyo wakiondoshwa kuna hasara gani? Aidha kuna utaratibu wa mawasiliano na TRA kama biashara yako...
  4. BUBERWA D.

  5. BUBERWA D.

    JamiiForums Tanzania TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

    Jua matumizi ya lugha. Unajua maana ya neno "vamia?" Lini mamlaka halali kisheria ikiwa inatekeleza majukumu yake kisheria useme imevami?
  6. BUBERWA D.

    JamiiForums Tanzania Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

    Acha ujinga, kama mcheza kamali. Wapi analazimika raisi kuteua baraza?
  7. BUBERWA D.

    JamiiForums Tanzania Kumbe Menejimenti Team yote ya BAWACHA wamepata Ubunge wa Viti Maalumu

    Mnyika yeye hajui hilo
  8. BUBERWA D.

    JamiiForums Tanzania BAVICHA leo saa 5 kutangaza msimamo wao kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum

    Walishavurugana siku nyingi. Mbowe anawacheki tuu akipiga fundo la konyagi.
  9. BUBERWA D.

    JamiiForums Tanzania Kumbe Menejimenti Team yote ya BAWACHA wamepata Ubunge wa Viti Maalumu

    Huijui michezo hii; Mbowe katulia tuliii, Mwalimu anacheka, mnyika anafula. Muulizeni Mwalimu aliyegonga muhuli nani, anajua!
  10. BUBERWA D.

    JamiiForums Tanzania Je, Rais amevunja Katiba Kumuapisha PM na Mawaziri wengine kwa Pamoja?

    Law interpretation imekupiga chenga.
  11. BUBERWA D.

    JamiiForums Tanzania Kama huelewi ubaya wa Majimbo ya Lissu, angalia kinachoendelea Ethiopia

    Hao darasa la saba ndiyo wenye nchi; kuwadharau ni kuonesha ujinga ulio nao. Ndiyo maana hao la saba wanajua namna ya kuwadhibiti na kuwanyima uongozi kwasababu hamueleweki.
  12. BUBERWA D.

    JamiiForums Tanzania Lissu, the grace period is over. Unataka maridhiano ya nini?

    T Tatizo mnalazimisha madaraka ilihali wananchi wamewakataa. Lissu mwenyewe kakili kuwa wananchi walipuuza wito wake wa maandamano; hii inadhihirisha walimpuuza hata katika kumpigia kura. Sasa anataka maridhiano gani au serikali gani ya mseto? Kwani hamjui ukishindwa unasubiri uchaguzi...
  13. BUBERWA D.

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

    Utaishi maisha ya taabu sana ukiishi katika uzandiki na uongo.
Back
Top Bottom