Ahsante kwa kunijuza yote hayo.
WaTanzania ni wakina nani? nadhani unajuwa hilo, na narudia tena, kujieleza si tatizo, lakini tatizo ni kama kiingereza hukijuwi basi itakuwa vigumu kufanya kazi nasi. Hatutokuwa na wakati wa kukufundisha kiingereza na "solutions", "technical manuals", "user...