Ipo siku tu utampata ambaye hutomkinai.nimepitia hii situation kwa muda mrefu sana tangu nipo kidato cha pili mpk nimemaliza chuo kikuu sijawahi kumpata manzi ambaye navutiwa nae baada ya kumgegeda.Hatimaye nimeangukia kwa manzi moja ya kawaida sana ambaye niko nayo kwa mwaka sasa hakika...
Ebana eeeeeh na mm leo nimepata cha kusema kwa kuwa nilikua naona wivu sana kwa hawa watu wanaopata matunda kimasihara na kula hayo matunda wakati mm sijawahi.
natumia nguvu sana kula tunda.ebana eee ilikua siku ya jumapili mishale ya saa nane mchana hatimaye na mm nikajishindia.Kuna dada mrembo...
Tutakiane safari njema wote tufike salama maana kulivuka hili gonjwa hatari ni kama tunasafiri.na hivi ninavyowaona watu wa dar wanamiminika mikoani kwao walikozaliwa hakika nakosa nguvu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya kubakishwa na chuo sijaielewa vizuri unaweza ukaiweka sawa kidogo mkuu.yaani kila anaepata above 3.9 GPA undergraduate anaweza kubakishwa na chuo ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh mkasa wetu unafanana pia maana nahisi Ni Kama alihitaji niwe na yeye japo na mm pia nilimuweka wazi kuwa kuna mtu Nina mahusiano naye.shida ikatokea ndio hivyo amenibebea mimba.mm kwangu Ni Kama mtihani lakini mwenzangu Ni Kama furaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Upepo wa Pesa, Nimekupata vizuri Sana mkuu ahsante kwa mawazo mazuri. Mimi Ni in-service tayari. (primary level) malengo yangu makubwa Sana Ni kusoma masters kwa ajili ya kuwa lecturer.
Lakini sijajua Ni kiswahili au kingereza inaweza ikawa na fursa kwa kipindi hichi? Kibongobongo hata nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.