Hapa WOWOWO nipo na wewe 100%. kwenye red hapo political scientists wanaita cooptation, na inakubalika kabisa kisiasa, na kinachofanyika ni kujaribu kuvunja nguvu ya upinzani kwa kuiga mipango mikakati na mawazo yao yenye mashiko na kwasababu wao bado wananguvu ya miundombinu na rasilimali...
Naam sasa umenena!! mimi sio discussant lakini mara nyingi natumia mbinu tu nilizoiga toka kwa wanazuoni kuchokoza fikra na mawazo yaliyofichika! ukweli ni kwamba aliyetoa hii thread amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumtoa MM undani na kumleta nje kweupeee!
Naamini sasa umeweka bayana mapungufu...
Ndugu MM,
Hii note ya mpenda TZ imeeleza na kupitiliza... Hata kwenu unapoona jirani adui anaunguliwa na nyumba halafu ukasimama na kuanza kunyooshea vidole badala ya kukimbilia mchanga na maji kuzima moto ni dhahiri tafsiri yake unatamani nyumba iteketee tena bila mtu mwingine kujua asijeuzima...
Watanzania wenzangu! mimi nimsomaji tu humu na sijawahi kuchangia sana ila naomba na mimi kwa hili niingie kwenye historia ya wawakilishi wachache wataopata fursa ya kupongeza viongozi wetu makini waliofanikisha marekebisho haya kupita kwa ajili tu ya masilahi ya Watanzania.. Kwanza kabisa...
wewe nadhani umerogwa kama sio umelala! Wakenya wapo hatua mbili jirani lakini u will never hear this nonesense! huoni haya wenzio wanapaa wewe unachuchumaa! kama unaipenda CCM embu tuambie nini hasa walichokufanyia achilia mbali hiyo tshirt uliyovaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.