Recent content by Bryan anderson

  1. Bryan anderson

    Naomba ushauri kati ya kilimo biashara au MAZAO biashara kipi ni bora zaidi

    Naomba ushauri Kwa muda mrefu sasa nipo nikitafakari juu ya kuchagua jambo moja kati ya haya mawili Kati ya kufanya kilimo cha kisasa juu ya MAZAO ya chakula (Mahindi ,ufuta ,mpunga ,na alizeti) kimoja wapo kati ya hayo MAZAO then baada ya mavuno niuze kama biashara na kununua MAZAO kwa...
  2. Bryan anderson

    Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    Naomba kujua makadirio ya gharama ya ujensi wa nyumba ya familia ambayo ina vyumba vya kulala vitatu na kimoja ni master bedroom pia Ina sehemu ya kupikiwa dinning room,rest place pamoja na public toilet eneo ninalotarajia kujenga ni kibaha eneo tambalale
  3. Bryan anderson

    Naombeni ushaur ndugu zangu

    Nimemaliza masomo yangu nasomea coz ya science and laboratory technology kwa ngazi ya diploma. ... Pia wazazi wabataka niache niamie nyngine nijaanze nayo upya coz ya clinical officer. ....... Sasa mm nifanyaje niendelee na hii yangu au niwafyate wazaz
Back
Top Bottom