HISTORIA FUPI YA MAPINDUZI YA VIWANDA
Nchi nyingi duniani zilizo endelea zimepitia mapinduzi ya viwanda, na mapinduzi hayo yalihusisha hatua, michakato na pia hatima mbalimbali ambazo zilipelekea nchi nyingi barani ulaya kafanya maaumuzi tofouti tofauti ili kukidhi uhitaji wa viwanda ambavyo...
Ni kweli ebu angali machawa tulio nao hapa nchini amabao wanawapigia kelele wasanii wetu wa mziki, waigizaji je ni vijana??, Vibaraka wa siasa hapa nchini je ni vijana ?? . Nchi ambazo zina pigia debe maslahi ya wazungu je zinaongozwa na vijana??.
Suala la uchawa sio suala la kiumri bali ni suala la maono ya kifikra, mtazamo wa mtu mmoja kwa mtu mwingine ,watu, mamlaka au ufuasi fulani. Kuna neno vibaraka/papet ambalo lilikuepo tangu enzi za ukoloni na mpaka sasa linaendelea kutumika japo kwa uchache lakini bado lipo nalo ni kama neno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.