Nimekuelewa sana.
Mimi nimeajiriwa mahali, mshahara wangu ni wa kawaida, ila natamani sana kuanza biashara yangu ila nina tatizo kubwa moja.
Mi sio mtu wa kuchangamana na watu, yani naogopa watu vibaya sana, ni tatizo ambalo silipendi lakini nimeshindwa kulitatua.
Yani siku ambazo siendi...
Kumekuwa na tabia inayoendelea kushika kasi kwenye nchi yetu ya wananchi kutaka au kuwasilisha kero zao na matatizo yao moja kwa moja kwa rais, wakati huo viongozi wa mikoa na wilaya wapo na wameaminiwa na rais kumuwakilisha.
Swala hili limeshika kasi sana katika nchi yetu ya Tanzania. Swali...
Nimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30 stendi nimeambiwa nisubiri gari. Cha ajabu nimesubiri mpaka saa 1: 10 asubuhi nakuja kuambiwa et...
Mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu, nimesomea ualimu wa masomo ya Kingereza na fasihi ( English Language and Literature) pia nina uwezo wa kufundisha lugha ya Kifaransa (FRENCH)kwa ngazi ya chini ( beginners).
Natafuta nafasi ya kazi ili niweze kutumia maarifa na ujuzi wangu...
Yaani mtu utafute pesa kwa jasho, bado upangiwe cha kufanya ukishazipata, kama mtu anapiga picha na pesa mwacheni si zakwake. Mbona wakati anatafuta hamkuwepo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.