..Cha muhimu pumnzi tu bwana Mungu pekee Dunia ina mengi sana mara sijui Kuna uchawi wa kutegeshwa Barabarani ukikanyaga bahati mbaya ata kama wewe sio ulie tegeshewa inakula kwako
Wanao kuja huku wameshafanyawiwa vipimo kuanzia air port wanapotoka mpaka air port wanapoingia kama pale kia ukaguzi ni wa kufa mtu shida hao wanafunzi wanakaa mji ambao hivo virus ndo vilianzia kwaiyo ugumu upo kuanzia kutoka kwenye huo mji
Binafsi kw alichokua anaongea mkuu wa kilimanjaro pale sio sawa ata kidogo ajatumia hekima wala busara na yeye alikurupuka tu kufata mkumbo kwa yale watu walikua wanasema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.